Nimechoka kuwa Single

Maliboro

Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
20
Reaction score
2
Habari zenu akina dada,mimi ni kijana mzuri sana kitabia,ila hadi sasa hapa nilipo na miaka yangu 29 sina mwanamke ninaeweza kusema ni mpenzi wangu.Nimechoka na haya maisha jamani kila siku mawazo tu na upweke.Najua wengi mtatoa mamneno ya kejeli ila mimi niko seriouz natafuta girlfriend /mke.Dada ambaye uko single na ungehitaji mwenza naomba uniinbox pm tuweze kuelezana zaidi.
 
Sijatoa singo wala album, bado nakomaa komaa
 
Mwanamaludi sihitaji picha mkuu,nahitaji mtu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…