Habari zenu akina dada,mimi ni kijana mzuri sana kitabia,ila hadi sasa hapa nilipo na miaka yangu 29 sina mwanamke ninaeweza kusema ni mpenzi wangu.Nimechoka na haya maisha jamani kila siku mawazo tu na upweke.Najua wengi mtatoa mamneno ya kejeli ila mimi niko seriouz natafuta girlfriend /mke.Dada ambaye uko single na ungehitaji mwenza naomba uniinbox pm tuweze kuelezana zaidi.