Nimechoka kwenda kazini na magari sasa ninataka kununua helikopta ili niwe nawahi kazini. Naombeni taratibu za umiliki

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Wakuu mambo yasiwe mengi.

Kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwa mfano nikitaka kwenda ofisini asubuh na kurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini.

Naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu.
 
Me nakupa makavu unasema nina matatizo ya akili haya ngoja nikutafute wauzaji tuone utafikia wapi
mkuu nipo serious we nipe chimbo na abc zake ili ujue kama mwamba natania au vp ya maji ipo mkuu kama huamin njoo pm nikutumie picha za kias cha pesa nilichoandaa mana usije ukazan jamaa kama kadata au ni mtu wa masikhara hapana mi nataka kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…