Nimechoka kwenda kazini na magari sasa ninataka kununua helikopta ili niwe nawahi kazini. Naombeni taratibu za umiliki

Wakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
Subiri waje
 
Unakitafuta Kifo mkuu helkopta haiitaji ukanjanja...

Na usipo fuata utunzaji na maintenance vizuri yatakutokea yaliyo watokea wengi...
 
Nimezoea ushauri wa Passo na Ist mzee umeruka kabisa huko umekuja na Mguu mpya wa Chopa daah...
 
kumbe ni mtu wa Muleba nilijua tu kwa hayi misifa
hata muleba penyewe sipajua papo vipi mi ni mzaliwa wa mbeya, mkulia wa dar es kwa sasa naishi canada ila kwa tz karibia mikoa mingi nimekaa angalau miez 6
 
Wakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
IL76 Russian made👼🏇
 
hata muleba penyewe sipajua papo vipi mi ni mzaliwa wa mbeya, mkulia wa dar es kwa sasa naishi canada ila kwa tz karibia mikoa mingi nimekaa angalau miez 6
Ila wahaya bwana, kwa hyo huko Canada umeshindwa kupata taarifa za kutosha za ununuzi wa hiyo kitu hadi uje kuuliza huku kwa watu ambao asilimia kubwa wapo Mpwapwa, Uyui, Migato na Mpanda?
 
Wakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu
malengo ya maana sana na ya kimageuzi kwa nyakati hizi za sasa,
 
Ila wahaya bwana, kwa hyo huko Canada umeshindwa kupata taarifa za kutosha za ununuzi wa hiyo kitu hadi uje kuuliza huku kwa watu ambao asilimia kubwa wapo Mpwapwa, Uyui, Migato na Mpanda?
tatizoo hilooo baba kwani jamiiforums ni mtandao wa tigo au voda kusema unapatikana tz tu? Hapa naongea na dunia we hujaona wadau wametoa info, usiwe mjuaji saivi dunia kijiji
 
Back
Top Bottom