Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Subiri wajeWakuu mambo yasiwe mengi kabla ya huu mwaka kwisha ninampango wa kununua helikopta niwe napigia misele hapa town kwamfano nikitaka kwenda ofisini asubuh nakurudi nayo jioni nyumbani mana mambo ya kukaa foleni nimejiona nachelewa sana kazini, naombeni kujua ni chopa gani nzuri kwa kwenda nayo kazini, bajeti yangu ni kama bilioni 6 sijajua itakizi au niongeze ngapi ili ifiti hitaji langu