Ipo safi,mpya na bora.Kama ingekuwa gari ni 0 kilometres.hizi za tunduma hizi mkuu dah ngoja nitakuchek niione
ninakuja pm tuyajenge vizuriIPO apache used, Bei rafiki kabisa.
Ipo Afghanistan Jimbo la khost, tukikubaliana unaweka mzigo nusu chombo inakuja ikifika unamalizia mpunga wetu.
Ina flight hours chache sana, Ina attachment zote zakufunga self propelled canon machine, Ina rescue cage Incase unataka kuitumia Kwa uokoaji,. Ina option ya kuzima flight radar, unaweza kutoa viti ukaitumia kubeba mizigo au matumizi ya kijeshi.
Na ukiona comment kama hiyo yako muda huo pia nayo ina ashiria nini mkuu?Narudia tena ukiona uzi umepostiwa siku za kazi(jumatatu hadi ijumaa) tena mida ya kazi saa 2 hadi 9, basi jua huo ni uzi wa jobless!
Kwa wengine wamelala mkuu sio kila mtu yupo humu, anaishi Tanzania mkuu.Narudia tena ukiona uzi umepostiwa siku za kazi(jumatatu hadi ijumaa) tena mida ya kazi saa 2 hadi 9, basi jua huo ni uzi wa jobless!
barikiwa mkuu vipi una abc zozote za kuhusu umiliki hapa nchini, kama vibali, kodi nk
Myself nipo SA pretoriaKwa wengine wamelala mkuu sio kila mtu yupo humu, anaishi Tanzania mkuu.
Si unaona sasa, ila apo hapaja pishana masaa mengi.Myself nipo SA pretoria
exactlySi unaona sasa, ila apo hapaja pishana masaa mengi.
πππJamani kipenzi pipa uwe unanipitia juu ya bati hapa kimara