Huyu shemeji yenu alichonifanyia Leo sijui nifanye nini !
Nimetoka kibaruani kuuza duka la mchaga happy mjini nimechoka,si nikasahau kumletea mikate ya chai ya asubuhi.!!Eti anadai ndiyo matatizo ya kuolewa na ma_shithole...Kumpiga nimetamani lakini sina hata nguvu nikebakia kumtazama tu.