mmmh changamoto zingine balaaa zinakatisha tamaa ujue!
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
mala hii ushakuchoka? pole best una elimu gani kwani?
nimechoshwa na mazngra..yan na kaelimu kangu haka ka shahada mshahar wenyew huo afu nikae huku? Baada y miaka 2 c ntafanan na wanakijij hapana kwakweli naona walimu wazoef wananikarbsha wanafurah cjui wameridhka?mmm mi hapana!
ikibdi unaacha! Suala la uhmish kw sasa nadhani itakuw ngumu nimeshajaza mkataba .
mmmmh naona kama huku kumezidi vilee yani huko nje giza naogopa hata kutoka mmmh!
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
mmh na yapite tu afu wameniongezea munkari wa kurudi shule wallah tena huku sikai!!