Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

Wewe ulitakiwa upite JKT ukapate uzalendo na ukakamavu wa kutosha kukabili mazingira magumu
 
mmmh changamoto zingine balaaa zinakatisha tamaa ujue!

Nimekupata Munkari ... they said "we should accept finite disappointment but never lose the infinity hope" ... people out there expect alot from you and you better know that!!

Malengo yangu yalikua kidogo yapotee nlipoenda kwenye shule kama hiyo uisemayo ...go there and bring changes!! Teach them the better way na kamwe usiwakatishe tamaa...maana wewe,as a teacher, wanakutegemea katika hilo!!!

All the best mwl...
 
Last edited by a moderator:
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

mala hii ushakuchoka? pole best una elimu gani kwani?
 
Umepangiwa wapi?
Shule gani?
 
mala hii ushakuchoka? pole best una elimu gani kwani?

nimechoshwa na mazngra..yan na kaelimu kangu haka ka shahada mshahar wenyew huo afu nikae huku? Baada y miaka 2 c ntafanan na wanakijij hapana kwakweli naona walimu wazoef wananikarbsha wanafurah cjui wameridhka?mmm mi hapana!
 
Usiondoke fanya michakato ya uhamisho mtaani kugumu mpenzi kuacha kazi ni kazi ngumu ujue
 
ikibdi unaacha! Suala la uhmish kw sasa nadhani itakuw ngumu nimeshajaza mkataba
 
Usiondoke fanya michakato ya uhamisho mtaani kugumu mpenzi kuacha kazi ni kazi ngumu ujue

ikibdi unaacha! Suala la uhmish kw sasa nadhani itakuw ngumu nimeshajaza mkataba .
 
teachers‘ junction;9146963 said:
Jitahdi hata hao wanakuhitaji dada yangu ingawa mazingira ni magumu pole mdada

mmh thenks !!
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Munkari kumbe na wewe ni Ticha, walimu ni wito kwanini hutaki kuitika lakini? Vumilia bwana, sasa wanangu nani atawafundisha?
 
Last edited by a moderator:
mmh na yapite tu afu wameniongezea munkari wa kurudi shule wallah tena huku sikai!!

Kurudi shule kunatatua vp hilo tatizo?

wenye hiyo elimu unayotaka kuongeza hawana changamoto?
 
Back
Top Bottom