Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

binafsi ningefurahia. mlifuata boom mnategemea nn? amishieni MMU topic hii

unajua unachokiongea? Umeshasema binafsi!! Then unaongelea boom la namna gani????!!!! MMU for what???
 
unajua unachokiongea? Umeshasema binafsi!! Then unaongelea boom la namna gani????!!!! MMU for what???

upo mkoa gani? Em ni PM. usikute nipo mkoa huo.
 
Mke wangu kapangwa mazingira ya hatari sana! Kuna baridi ya kutosha na ana kabinti kangu ka mwezi mmoja,naona hatari tupu mbele yake,duh! Nimemwambia arudi tuje tujadili upya hiyo ajira.
 
Hizi ni changamoto moja kati ya v2 vinavyotia hasira ni kwenda kuishi sehemu ambayo hujataka kuishi tena kwa shuruti aisee pole sana ndugu fanya mpango utoke hyo sehemu kwa udi bila kusahau uvumba la sivyo utachakaa kabla ya cku zako.

Mbaya zaidi walimu kupangiwa vi2o ambavyo hawajachagua hii ni mbaya wakati huohuo pesa ya kujikimu haitolewi yote hv wanategemea nani awe mzalendo kama wao wanashndwa
 
Mke wangu kapangwa mazingira ya hatari sana! Kuna baridi ya kutosha na ana kabinti kangu ka mwezi mmoja,naona hatari tupu mbele yake,duh! Nimemwambia arudi tuje tujadili upya hiyo ajira.

kwanini usimwambie akaombe shule nyingine? Inawezekana! Ila pole afu hongera kwa kabinti mpe jina langu eeeh!!
 

ha ha eti kuchakaa umeona eeh unarud home wanakushangaa ndo wewe kweli? Mmh nahama mkuu soon!
 
ka'complaign wakubadilishie kituo.. ila nlichogundua umeme unao wewe..simu iko charge na network full...

umeme hamna ila kuna mahali kuna sola tunachaji huko ,network ipo full haina shida!
 
mm nlikuwa nachukia sana maisha ya kijiji wakati napangiwa mwaka 2007 nikakimbia nikaja dar hapa nikapiga shule fresh ikaisha ila nnachotaka kukushauri usije toka serikalini ukaenda private eti wanalipa vizuri huku kumeoza ninauzoefu miaka saba niliokaa ni upuuzi mtupu hawana hela ya kulipa mishahara social security ni sifuri na sasa hivi shule za kata zimewafanya wasiwe na wanafunzi kwa hiyo wananyan"ganyana wanafunzi...na hapa Dar shule nyingi zinakufa kama unabisha toka huko uje ujionee chamoto mimi nasubiri second selection i regret kuacha govt.
 
kwanini usimwambie akaombe shule nyingine? Inawezekana! Ila pole afu hongera kwa kabinti mpe jina langu eeeh!!

Ntalitaja hapa....shauri yako....! anyway,thanks Madam...kuomba shule nyingine haiwezekani mama! zote ni zilezile tu....labda aombe halmashauri nyingine..! kule kanambia hata umeme hakuna!
 
 
nani alikwambia usome ualimu???si njaa zako mwenyewe na utashi wako ukaamua kusoma ualimu???wenzio wamesoma sheria,accounts,PSPA,project management nk wanakula tu cace ya nchi!!!UALIMU NI KAZI YA LAANA,hata YESU alikuwa mwalimu wakamsulubu,
JK Nyerere alikuwa mwalimu ona familia yake,watoto wake wni njaa tu,numba yenyewe alijengewa na suma JKT!!!cha mcing nakushauri rudi mjini piga mishe nyingine,pia bora mwalimu wa mjini kuliko mwl wa kijijini!!!mjini opportunity nyingi,utaishia kuolew/kuoa na afisa mtendaji,mratibu elimu kata,ama mwl mwezio hapo habari yako kwishney,mwaka mtoto mwaka mimba!!!!km kwenu ni mbali na huko ulipopangiwa ujue ndo bhaaasi tena,ndugu zako na wazazi wako watakusahau maana kwa mshahara wa mwalimunauli itabidi ule tembele mwaka mzima upate nauli na hela ya kutumia na kuwaoa wazaz ukiwa likizo hapo nyumbani!!!!ndio maana walimu wenzio wengi baada ya kupangiwa kituo cha kazi kija nyumbani ni baada ya miaka kadhaa!!!
 
! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Sikuelewei Munkari
Hivi wakati ukisomea ualimu ulitegemea ufanye kazi wapi?
Ualimu hauna mazingira kwani ni mtu wa kueleimsha taifa
Kituo chake ni popote.
Unaogopa kut@mbwa na mwanaume asiye wa elimu yako?
Vumilia au acha kazi

Bazazi tangu darasa la saba alikuwa akiweka X katika nafasi ya ualimu
Wewe ukafikiria kazi tu bila kujali mazingira
Bazazi anafani inayomfanya asiishi nje ya makao makuu ya wilaya
 
Last edited by a moderator:
Hahhgahhha @munkar umepatikanaaa funga ndoaa halaf mfate mme alipoo
 
i wish niwawekee picha vilee ! Mmmh au kwakuwa nimezoea kuyaona magorofa ya posta na kkoo? Aaah hapana bwana huku kwa ajabu!! Nashkuru kwa kunipa moyo!

Hahhhhahhhha hahha hakuna nyan huko au ngederee
 
jaman CALMAN yani unanicheka wakati mwenzio nalia hapa ha ha dah si huku kwa wanyantuzu sijui wanyaturu aagh!!
Shukuru wewe!singida ni karibu na Dar,je ungepelekwa Kigoma Ziwani huko?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mrembo, kwa kuwa serikali yetu ni sikivu tutajitahidi kutengeneza miundombinu ya kuishi vizuri ili kupunguza uwezekano wa kubakwa na kubaka kwa walimu wa kiume waliopelekwa shule za mabinti!
 

We jamaa dah kuna neno umeandika hapo kweli we bazazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…