Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!
Tatizo la watoto waliozaliwa Dar na kukulia Dar ndio ilo. Nendeni kusalimia vijijini at least once per year mtazoea mazingira.
Watu ndio maisha yao yote yako hapo na hakuna pa kwenda bora wewe utakuja Dar likizo.
Hacha mapepe fanya kazi tumikia taifa, tunataka kurudisha mkopo uliochukua maana wadogo zako wanahitaji kusoma pia.
Pole lakini maana unafika sehemu wewe ndio mjanja peke yako.
Ilinitokea 2000