Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Tatizo la watoto waliozaliwa Dar na kukulia Dar ndio ilo. Nendeni kusalimia vijijini at least once per year mtazoea mazingira.

Watu ndio maisha yao yote yako hapo na hakuna pa kwenda bora wewe utakuja Dar likizo.

Hacha mapepe fanya kazi tumikia taifa, tunataka kurudisha mkopo uliochukua maana wadogo zako wanahitaji kusoma pia.

Pole lakini maana unafika sehemu wewe ndio mjanja peke yako.

Ilinitokea 2000
 
Moja kati ya fursa za mkoa wa singida ni pamoja na Alizeti ambapo kama ukilima vizuri inalipa, Ufuta nao maeneo baadhi ya singida hukubali, kuna kilimo cha vitunguu lakini pia waweza fungua genge la kuuza mafuta ya alizeti Dar Es Salaam na ukawa unachukua ijumaa kupeleka mzigo bado itakulipa sana na singida upo karibu pia na kigoma ambapo unaweza kwenda kununua Wax original kwa shilingi 27000 na kuiuza kwa uchache kwa shilingi 45000 bado utapata pesa ya kuendeshea maisha

umeongea la maana!! Ila sasa ishu ni jinsi ya kuendesha hiyo biashara mana hapo mjini itanihusu na mkoa pia na huwa wanasema ili ujue faida uwe unasimamia mwenyewe sasa na hili pori langu mmmmh! Nimekunote !! Ntafikiria!
 
Babu Asprin hebu aje kusaidia hapa.. Maana alijitolea kuhakikisha mjukuu wake Munkari hapati matatizo..
 
Last edited by a moderator:
asante mwaya liticha miye dah yani hao wanakijiji wenyewe hata siwaoni naona wabibi tu ha ha nacheka kwa hasira hapa!
Utakuwa unatokewa na hawa kwa ajili ya kuombwa papuchi, Mwl Mkuu,mwenyekiti wa Kijiji,Afisa Mtendaji wa kijiji,Afisa tarafa,Balozi manake huko hao watu ndio angalau wana uafadhali

ha ha ha ha imekula kwao!
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Ungesoma BBA sasa....vumilia tu.
 
mmmmmh may be ila sijui ka ntakuelewa!! Ngoja nikubali kwa shingo upande!!

Subira yavuta hero binti. mie ubishi wangu ulinisaidia last year kutopangiwa porini baada ya DEO kunitupa porini nikamwambia siendi. Nikaambiwa nirudishe pesa yao nikawaambia nitaitumia kwa nauli ya kurudia kwetu. Ulifanya kosa kwenda place hilo bila kulijua kiundani. Mimi niliumia sana kusikia sie wakuja ndio tuende pori afu wazawa wabaki wilayani wkt wote ni waajiriwa. Nashukuru Mungu kwa jeuri yangu sehemu niliyopo name jiji(mwnz) ni kugusa tu.
 
Basi komaa tu au njoo tufundishe matwisheni mjini humu tubanane
 
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu !! Niishi huku? Yani daaaah wallah nisijekufelisha watoto wa watu kwa makusudi !......... ,yani nimeangalia sura za wanafunzi naona zimechooka sijui ndo wamekata tamaa khaa!!............ hiyo nyumba sasa tuliyoandaliwa mama wee hapo ndo pamenichoshaa kinyumba kibaya hichoo aisee nicjebakwa huku mtoto wa watu, huo usafiri sasa kwenda mjini mwisho wa mwezi!! Aaagh narudi kwetu sitaki tena watanizeesha !!!

Nakumbuka uliniponda nilipoweka uzi wangu wakususia kwenda serengeti!bora umejionea mwenyew njoo mjini private zinalipa hadi laki9 take home kama cheti kipo poa......
 
Cha msingi vumilia ila within a year fanya mishe uhame hakuna Jambo gumu
 
Nakumbuka uliniponda nilipoweka uzi wangu wakususia kwenda serengeti!bora umejionea mwenyew njoo mjini private zinalipa hadi laki9 take home kama cheti kipo poa......

Private nao wanaangalia vyeti siku hizi?
 
Kaza moyo mbona waipata JF huko kwa uzuuuri....usife moyo tupo tupo sisi wa mijini tukufariji wewe wa kijijini. #munkari
 
Back
Top Bottom