Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
kuzoea wapi? Itachukua muda!
Pole mwaya sipati picha giza lake huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuzoea wapi? Itachukua muda!
wakati unachagua kusoma ualimu haukutushirikisha leo ndo unatuambia , kafanye kazi binti mimi nakushauri hivyo. I have many frnds of mine huko Tz walisoma koz tofauti bt baada ya kukosa ajira walienda kusoma PGDE Now wanapiga kazi.
usiku ee ni noumaa!!
Shwain!!!
sasa si umegoma kunipa hiyo mihela??
watoto wamefunga shule namalizia kula bata mjini hapa!!
duh pole mwalimu haya nayo yatapita