Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

Status
Not open for further replies.
Mkuu usikate tamaa kiurahisi hivyo.

Binafsi nimewahi kumiliki 2bil kwenye account yangu ila leo hii account yangu inasoma chini ya 6 digit.

Naamini zitarudi tena, nimebadili mbinu za vita napambana usiku na mchana.

Lazima tupitie magumu ili tuwe Bora zaidi, komaa mpaka siku muumba mwenyewe mwenye dunia yake akunyakue.
 
Kwa mujibu wa Sect 216 cap 16 R.E 2022 Kumsaidia mtu kujiua ni kosa kisheria na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
 
Nenda mahospitali uone jinsi watu wanavyoteseka we huko na uzima kabisa unawaza kujiua aisee
 
Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochot...
Mimi nikifikia hali kama yako naenda zangu kuishi kichokoraa. Sijaumbwa na aibu wala hofu ya vitu. Tuliza akili utapata njia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom