Nimechoka na matusi tunayotukanwa wanaume wa Dsm

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,397
Washikaji eeeh Ilala, Kino, Temeke,

Hawa jamaa wanakuwaga wapole sana wanavyokuja tuwapeleke K/koo, mara beach, tena wengine wakifika Coco huwa wanaonja maji ya bahari, sisi tunakausha tu hatuwasimulii wasichana zenu.

Mnakuja mnashangaa watoto wazuri mjini mpaka mnatelekeza familia zenu sisi tunakausha tu, wahuni tunawaangalia tu mnavyohangaika na sehemu ambazo tumezianzisha mkija na vipesa vyenu vya msimu mnaibiwa na wasichana tuliowatengenezea njia, mkifirisika mkarudi kwenu mnajifanya wanaume wa Dsm mnatuponda.

Ila mkiibiwa hamsemagi, K/koo mnavyouziwa sabuni hamsemagi, dada zenu wakija huku na wanakataa kurudi makwenu hamsemi, wasichana zenu wanawakimbia wanakuja kwa wanaume wa Dsm, hamsemi, sasa wacha Le mutuz atakavyooa msichana wa mkoani ndipo mtakapojua kuwa wanaume wa Dar kiboko.
 
Emu rudia kusoma ulichoandika..alafu ujiulize ilikuwa na umuhimu wa kupostiwa humu??

Mfano ungekuwa umekutana na posti ya hivi..ungemfikiriaje muandikaji??
Kama ww ulivyoona umuhimu kucoment mkuu
 
Kama kitu kidoogo tu hivyo kinakuchosha mpaka unatangaza, yaani maandishi tu na matusi yanakuchosha?

Sasa mwanamke kitandani si ndio atakuua kabisa.

Kweli Wanaume wa Dar es salaam mnatia huruma.
 
Kama kitu kidoogo tu hivyo kinakuchosha mpaka unatangaza, yaani maandishi tu na matusi yanakuchosha?

Sasa mwanamke kitandani si ndio atakuua kabisa.

Kweli Wanaume wa Dar es salaam mnatia huruma.
C ndo ukuje uone vile nitakavyochoka wakat nafanya yangu
 
Kama kitu kidoogo tu hivyo kinakuchosha mpaka unatangaza, yaani maandishi tu na matusi yanakuchosha?

Sasa mwanamke kitandani si ndio atakuua kabisa.

Kweli Wanaume wa Dar es salaam mnatia huruma.
Wewe uko mkoa gani?
 
We umezaliwa na kukulia dsm? Lakn pia wewe ni mzaramo? Wanaosemwa ni wenyeji wa dsm, kama ww ni maukuma hata kama unezaliwa hapa haikuhusu
 
hii kitu naona inakuasiku hadi siku,ooh wanaume wa dar wala chipsy,ooh wanaume wa mkoani hawajatahiriwa nk muda si mrefu mtaanzisha hadi timu za mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…