Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Akili Unazo!Kuambiwa Ukweli ni Kutukana Kumbe Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili Unazo!Kuambiwa Ukweli ni Kutukana Kumbe Mkuu
Hayaa chukua na miguu ya kukuNi ya tende
Anatoka mkoani huyo, ana wiki tatu tangu aletwe Dar es salaam..Emu rudia kusoma ulichoandika..alafu ujiulize ilikuwa na umuhimu wa kupostiwa humu??
Mfano ungekuwa umekutana na posti ya hivi..ungemfikiriaje muandikaji??
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] na chipsi yai
Mwanaume wa dar katika ubora wake wa kulalamika
Sipo katika mkoa wowote nchini Tanzania, naishi Papua new Guinea.Wewe uko mkoa gani?
Kweli Mkuu wewe zero brain yani unajisif kwwny mamb yakijinga?kweli wewe......Washikaji eeeh Ilala, Kino, Temeke,
Hawa jamaa wanakuwaga wapole sana wanavyokuja tuwapeleke K/koo, mara beach, tena wengine wakifika Coco huwa wanaonja maji ya bahari, sisi tunakausha tu hatuwasimulii wasichana zenu.
Mnakuja mnashangaa watoto wazuri mjini mpaka mnatelekeza familia zenu sisi tunakausha tu, wahuni tunawaangalia tu mnavyohangaika na sehemu ambazo tumezianzisha mkija na vipesa vyenu vya msimu mnaibiwa na wasichana tuliowatengenezea njia, mkifirisika mkarudi kwenu mnajifanya wanaume wa Dsm mnatuponda.
Ila mkiibiwa hamsemagi, K/koo mnavyouziwa sabuni hamsemagi, dada zenu wakija huku na wanakataa kurudi makwenu hamsemi, wasichana zenu wanawakimbia wanakuja kwa wanaume wa Dsm, hamsemi, sasa wacha Le mutuz atakavyooa msichana wa mkoani ndipo mtakapojua kuwa wanaume wa Dar kiboko.