Nimechoka na matusi tunayotukanwa wanaume wa Dsm

Nimechoka na matusi tunayotukanwa wanaume wa Dsm

Wanaume wa dar eti wanakula hindi la kuchoma afu wanaweka pilipili na limao hahah
 
Washikaji eeeh Ilala, Kino, Temeke,

Hawa jamaa wanakuwaga wapole sana wanavyokuja tuwapeleke K/koo, mara beach, tena wengine wakifika Coco huwa wanaonja maji ya bahari, sisi tunakausha tu hatuwasimulii wasichana zenu.

Mnakuja mnashangaa watoto wazuri mjini mpaka mnatelekeza familia zenu sisi tunakausha tu, wahuni tunawaangalia tu mnavyohangaika na sehemu ambazo tumezianzisha mkija na vipesa vyenu vya msimu mnaibiwa na wasichana tuliowatengenezea njia, mkifirisika mkarudi kwenu mnajifanya wanaume wa Dsm mnatuponda.

Ila mkiibiwa hamsemagi, K/koo mnavyouziwa sabuni hamsemagi, dada zenu wakija huku na wanakataa kurudi makwenu hamsemi, wasichana zenu wanawakimbia wanakuja kwa wanaume wa Dsm, hamsemi, sasa wacha Le mutuz atakavyooa msichana wa mkoani ndipo mtakapojua kuwa wanaume wa Dar kiboko.
Kweli Mkuu wewe zero brain yani unajisif kwwny mamb yakijinga?kweli wewe......
 
Wanaume wa DSM hamna lolote mkiongozwa na lemutuz, ona sasa wewe nae baada ya kula kipande cha mhindi wa kuchoma na ndimu umekuja kuropoka huku.
 
Back
Top Bottom