Nimechoka na timu kiba, nahamia zangu WCB

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Wakuu
Nimekuwa mfuasi mkuu wa timu kiba tangu muda mrefu lakini muda wote huu ni wazi kabsa hii timu haitupi mashabiki wake furaha kabisa

Tumekuwa tukiburuzwa na WCB kila siku, Diamond na wenzake wanatoa ngoma mpya kali kila baada ya ngoma

Alikiba yeye ni porojo tu na tunajipendekeza tu kumpenda huku yeye hatuhitaji mashabiki wake maana hatusikilizi

Kiba toa wimbo mpya sasa na hivi sasa nimekuhama na nimefuta nyimbo zako zote hapa nadownload ngoma zote za wasafi

Kwaheli timu kiba
Naombeni mnipokee huko WCB
 
Wapendeni wote acheni uteam ,fala wote wenye uteam humu jf
 
Kweli wewe ni mwanaume wa dar. Badala ya kuwaza maendeleo unawaza kuhama team kiba... ?
 
nenda uko wcb mkavulugwe malinda na mlezi wenu naona ulikua unatamani uukipata uzoefu njoo nkuvuluge
 
Acha kutupigia kelele kwani ulivyokuja team kiba ulituambia eboooooo
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] karibu mkuu sema domo nae anatuboa na BASHITE wake mapenzi yet yanapungua siku hizi. Ila mkuu umenichekesha kinoma
 
Huu upuuz peleka fecebook huko ndiko kuna tm kiba na Tim dangot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…