Nimechoka na timu kiba, nahamia zangu WCB

Enzi zetu likizo kama hii ya Pasaka tulikuwa busy kupiga tuition kwa akina Mkandawile na wengineo...shule zifunguliwe haraka.
 
Mi mwenyew nlikua cmpend diamond lakn alikua anatoa doz hatar mbona nlijikuta tu namkubali bla kupenda
 
Mi mwenyew nlikua cmpend diamond lakn alikua anatoa doz hatar mbona nlijikuta tu namkubali bla kupenda
sio tu diamond, hata timu yake yote inatoa dozi ya kutosha

sasa mavoko na hamonize washafanya yao teyari
[HASHTAG]#show[/HASHTAG] me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…