Nimechoka na upweke..nahitaji kuolewa sasa atleast niwe busy na ndoa yangu kwa mapenzi yote

Nimechoka na upweke..nahitaji kuolewa sasa atleast niwe busy na ndoa yangu kwa mapenzi yote

Joined
Mar 2, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Habarini,...

mm ni msichana wa chuo kikuu na ningali nasoma lakin nadhan nimefikia umr muafaka wa kua na famlia mana najua naweza himili masomo yangu na ndoa yangu kwa pamoja mana najua kumlea mume wala cyo kazi..sichagui dini wala kabila nachojali upendo na amani itawale baina yetu..mm ni nipo mwanza na ntafurah kama ntapata mwanza mana dstanc luv nkaz kdogo..Napendelea mwanaume mwenye umr kuanzia miaka 28-36.,mcheshi,mchapa kaz,.mpenda elimu,,mpenda maendeleo,.cpend mwanaume mwenye sifa..Alie na nia dhabit ani pm na Mungu akijaalia tutakua mke na mume nkudhibit unidhibit...asanten
 
amani ya nafsi ! Kwanini usitumie ID yako ya zamani kutafuta mume?

Mie, nipo mwanza.

Napenda elimu.

Mcheshi.

Mchapa kazi.

Na kila kitu unacho hitaji, ni PM
 
Last edited by a moderator:
Na kweli baada ya kutumika vya kutosha umechoka pole sana! sasa unatafuta wa kumshika
 
sifa zote nimekidhi , elimu napenda ila sijaabahatika kusoma.
kama upo tayari nipm na ID yako ya zamani nijue kama upo serious kweli
 
Kama unataka ndoa ya kukuweka busy si ufungue duka.la pochi na hereni? Weekend yote unakuwa busy na kufukuzia wadeni.
 
Dada nipo sirius ntafute 0712336687 or 0759063942 umempata wako,pia nipo chuo kama wewe na nsaka wife
 
"......ndoa yangu kwa mapenzi yote."Hapo una maana gani kwenye heading yako?na 0713......au?
 
Habarini,...

mm ni msichana wa chuo kikuu na ningali nasoma lakin nadhan nimefikia umr muafaka wa kua na famlia mana najua naweza himili masomo yangu na ndoa yangu kwa pamoja mana najua kumlea mume wala cyo kazi..sichagui dini wala kabila nachojali upendo na amani itawale baina yetu..mm ni nipo mwanza na ntafurah kama ntapata mwanza mana dstanc luv nkaz kdogo..Napendelea mwanaume mwenye umr kuanzia miaka 28-36.,mcheshi,mchapa kaz,.mpenda elimu,,mpenda maendeleo,.cpend mwanaume mwenye sifa..Alie na nia dhabit ani pm na Mungu akijaalia tutakua mke na mume nkudhibit unidhibit...asanten

Okey, jaribu kunichek ktk 0752796133 ili tujaribu kuwekana sawa coz nina sifa na vigezo vyote uvitakavyo!
 
Ahahahahah..We demu mwehu kweli.Yaani unalazimisha uolewe?Useless kabisa we binti.Aya vidume vimejitokeza hapo ngoja vikukamue mpaka utie akili.Kuna mijamaa hata uwe na sura kama choo cha magereza watakuvua pichu tu.Pambav
 
Hivi kweli njia nayo mnafanikiwa ama ni kuboresha/kunogesha kijiwe tu
 
Back
Top Bottom