Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu Jipu uko kiwanja gani cha wahaya mida hii? tandika, uwanja wa fisi au buguruni... mimi nimepita mitaa ya kimboka ajabu nimekuta vibinti vidogo lakini nvilinipa mizuka usipimeUnajua kukatikia?
bibie mimi niko full vigezo wewe ni PM tu upate penzi motomotoHabarini,... mm ni msichana wa chuo kikuu na ningali nasoma lakin nadhan nimefikia umr muafaka wa kua na famlia mana najua naweza himili masomo yangu na ndoa yangu kwa pamoja mana najua kumlea mume wala cyo kazi..sichagui dini wala kabila nachojali upendo na amani itawale baina yetu..mm ni nipo mwanza na ntafurah kama ntapata mwanza mana dstanc luv nkaz kdogo..Napendelea mwanaume mwenye umr kuanzia miaka 28-36.,mcheshi,mchapa kaz,.mpenda elimu,,mpenda maendeleo,.cpend mwanaume mwenye sifa..Alie na nia dhabit ani pm na Mungu akijaalia tutakua mke na mume nkudhibit unidhibit...asanten