SIDEMKAMILIFU
Member
- Nov 20, 2013
- 10
- 1
na watafuta wachumba humu jf walio wengi naamini ni matapeli!!!!!
mngeagana huko kimya kimya kama mlivyotongozana halafu ukatulia umsubiri huyo "miss right" akufate huko nyumbani kwako.
Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata home c hum nmechoka.