Nimechoka na wapenzi wa kwenye mtandao

Nimechoka na wapenzi wa kwenye mtandao

SIDEMKAMILIFU

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata home c hum nmechoka.
 
Mhhhhh no comment. hongera kwa maamuzi pia
 
na watafuta wachumba humu jf walio wengi naamini ni matapeli!!!!!
 
Me zamani nilijua uongo..wanasema mvumilivu hula mbivu usikate tamaa kijana utapata mwenza wako tu...
 
Yupo mmoja anafanya NGO moja Room to read yuko poa sana,jaribu bahati yako ukihitaji contacts zake nitakupa
 
Na nliowapata mwanzo walikuwa na ahad tele mara et wakinywa maj wananiona kwenye glas sa najiulza m jn kumbe waongo wakubwa uktaka kuamn kuwa waongo andka kuwa unafanya kaz TRA au bank watakupgania. weng wako after money
 
Mngeagana huko kimya kimya kama mlivyotongozana halafu ukatulia umsubiri huyo "Miss Right" akufate huko nyumbani kwako.
 
nashkuru walioshaur vzur bt nawakemea wot waliotoa ushaur utafkr hawashrksh ubongo
 
Tafuta pesa,watakuja kama mvua ya mawe! Chezea wanawake
 
Tatizo si kukutana nao mtandaoni tatizo hao wadada ni pasua vichwa. Wadada wa hivyo unaweza pia kukutana nao uraiani. Wenye bahati zao wanakutana mtandaoni wanapendana sana hadi kufunga pingu za maisha.

Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata home c hum nmechoka.
 
Uliingilia mlango wa kutokea ha ha ha jipange ngoma yataka matao babu!
 
Back
Top Bottom