Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Gari linaongeza standards mkuu, utaonekana kidogo mtu wa maana mjini, ila kununua ist ya 7.5M ni kama una beti. Mwisho wa mwezi huu, Jan Japan wanazo gari za bei yako, usajili mpyaa wewe ndo utaitoa harufu yake ya Japan..Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Alaa! Atatembelea kalio huyu?Kanunue tu mwayaaa nawe ujimwambafaiiii kutembelea kalio
Acha kumtisha watu wanamiliki gari kipato chini ya laki tano. Reference mi mwenyewe!!!!! Na sijawahi kujuta hata siku moja! Kiongozi vuta ndingaHahaha utaishia kujisikia inferior kwa lingine tu.
Nimekuwa na uwezo wa kununua gari toka 2016 ila ni mwaka huu ndio nimeona ninunue. Kitu kilichokuwa kinanisukuma ni kupandikisha pesa zaidi katika biashara na kuepuka kuongeza gharama za maisha.
Sijui kipato chako ni bei gani ila kama ni chini ya 1 mil kwa mwezi bado si muda sahihi. Endeleza pesa yako katika biashara uwe na hata 20 mil savings na kipato cha 2 mil kwa mwezi utakuwa katika a more comfortable position.
Nunua gari mkuu na ukihitaji spare parts we nicheck nikuuzie kwa bei nzuri kabisa.Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Hehehe kama uliamua kujilipua ni wewe mkuu. Hapo nimempa opinion yangu maamuzi kwakeAcha kumtisha watu wanamiliki gari kipato chini ya laki tano. Reference mi mwenyewe!!!!! Na sijawahi kujuta hata siku moja! Kiongozi vuta ndinga
Gari linaongeza standards mkuu, utaonekana kidogo mtu wa maana mjini, ila kununua ist ya 7.5M ni kama una beti. Mwisho wa mwezi huu, Jan japan wanazo gari za bei yako, usajili mpyaa wewe ndo utaitoa harufu yake ya japan..
Kuna mwanetu mmoja humu JF alijenga kerege akawa anaumia wese la kutoka Kerege hadi Daslam...sijui alikuwaga na Brevis au Fuga sikumbuki vizuri. 🤣🤣🤣Wengine watakwambia ukanunue kiwanja Kerege ujenge sababu ni asset.
Nunua ndinga hiyo leta heshima, binadamu hajawahi kukosa sehemu ya kulala, ila anakosa usafiri.
Aiseeeee, umenifurahisha sana mkuu.Wengine watakwambia ukanunue kiwanja Kerege ujenge sababu ni asset.
Nunua ndinga hiyo leta heshima, binadamu hajawahi kukosa sehemu ya kulala, ila anakosa usafiri.
7.5m anapata gari gani mpyaHakuna IST ya 7.5m nzima ndugu.. unaenda nunua matatzo... Utakua mteja wa fund kila siku..
Ni bora ukanunua gar ndogo ya brand nyingne kwa hela hyo lakin mpya..
Zipo swift, fun cargo.. vi nissan kibao..
Hyo gar ya mkonon utajuta
Umri unazidi kwendaHahaha utaishia kujisikia inferior kwa lingine tu.
Nimekuwa na uwezo wa kununua gari toka 2016 ila ni mwaka huu ndio nimeona ninunue. Kitu kilichokuwa kinanisukuma ni kupandikisha pesa zaidi katika biashara na kuepuka kuongeza gharama za maisha.
Sijui kipato chako ni bei gani ila kama ni chini ya 1 mil kwa mwezi bado si muda sahihi. Endeleza pesa yako katika biashara uwe na hata 20 mil savings na kipato cha 2 mil kwa mwezi utakuwa katika a more comfortable position.
Naomba elimu hapa mkuuUsije ukajichanganya kununua ist ya four wheel
Huwa ina changamoto ya kuharibika haribika sanaNaomba elimu hapa mkuu