sikutakii kila la kheri, mambo yakikugeuka kama ukiwa hai bado usisite kumrudia Muumba kama Suluhisho la kudumu mkuu.Nimeshaamua sirudi nyuma
sio uamuzi wa kukurupuka huu bwana mzee
Siogopi lolote ..nimeshafanya utafiti wangu mkubwa sana ..kwanza yanayoendelea huko makanisani ni usanii mtupu anway kila mtu anajua ameweka agano gani na Mungu wake kwaio hauko katika eneo la kunishauri hayo unayosema ...rejea mada nataka ushauri wa kwenye mada husika ..kama huna basisikutakii kila la kheri, mambo yakikugeuka kama ukiwa hai bado usisite kumrudia Muumba kama Suluhisho la kudumu mkuu.
Hahahaha, Mwanakingi namskia sana, inaonekana siyo mtu wa spotispotiHabari zenu.
Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni serious na nimeshaamua, kwaio sitaki habari zingine, nisaidieni kwa wenyeji wa maeneo hayo au waliokwishaenda wakafanikiwa tafadhali uje PM tuweze kubadilishana mawili matatu.
Sio mtu wa mchezo mkuu, sema masharti magumu ila nmeshaamua .....mana sikubal huu ujinga aise kukaa tunadanganyana ovyo tu,Hahahaha, Mwanakingi namskia sana, inaonekana siyo mtu wa spotispoti
Duh! Masharti gani tena magumu?Sio mtu wa mchezo mkuu, sema masharti magumu ila nmeshaamua .....mana sikubal huu ujinga aise kukaa tunadanganyana ovyo tu,
unapelekwa kwa mchungaji eti kabla ya kumuona utoe pesa, na akiingia analala chini ndo aingie sitak upuuz huu...
nmeamua kwa dhati kabisa ...jadi yetu asili zetu zitabaki
Msafwa huyo yuko njia ya kwenda ChunyaHabari zenu.
Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni serious na nimeshaamua, kwaio sitaki habari zingine, nisaidieni kwa wenyeji wa maeneo hayo au waliokwishaenda wakafanikiwa tafadhali uje PM tuweze kubadilishana mawili matatu.
Msafwa huyo yuko njia ya kwenda ChunyaHabari zenu.
Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni serious na nimeshaamua, kwaio sitaki habari zingine, nisaidieni kwa wenyeji wa maeneo hayo au waliokwishaenda wakafanikiwa tafadhali uje PM tuweze kubadilishana mawili matatu.
Msafwa huyo yuko njia ya kwenda ChunyaHabari zenu.
Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni serious na nimeshaamua, kwaio sitaki habari zingine, nisaidieni kwa wenyeji wa maeneo hayo au waliokwishaenda wakafanikiwa tafadhali uje PM tuweze kubadilishana mawili matatu.
Ushauri mzr sana, asipokuelewa atakuwa punguani wa ovyo ovyo.KIMBIA kwa Mungu ndugu, acha mambo ya kijima enzi hizi za technohama.
Matatizo ya Kiumbe hupelekwa kwa Muumba, sio kwa kiumbe Mwenzake aliyemuasi Muumba.
Ushauri wa nn wkt ushaamua? Hii nchi ina watu wa ajabuuuu!!!!Siogopi lolote ..nimeshafanya utafiti wangu mkubwa sana ..kwanza yanayoendelea huko makanisani ni usanii mtupu anway kila mtu anajua ameweka agano gani na Mungu wake kwaio hauko katika eneo la kunishauri hayo unayosema ...rejea mada nataka ushauri wa kwenye mada husika ..kama huna basi
Ushauri mzr sana, asipokuelewa atakuwa punguani wa ovyo ovyo.
Bwana mdogo huna haja ya kutokwa na mapovu na sitaki unafiki ...sijaomba ushauri bali maelekezo kwa mtu aliyefika na naamin kuna ambao wamefika ama wanapajua hio sehemu, sasa kama huna msaada basi pita hivi sawa bwana niko serious habari zenu za kinafiki za wokovu staki kuzisikia. ..hamjawahi kupata shida nyie.Ushauri wa nn wkt ushaamua? Hii nchi ina watu wa ajabuuuu!!!!