Nimechoka nimeamua kutafuta ufumbuzi

Nimechoka nimeamua kutafuta ufumbuzi

Nakuja pm unielekeze vizuri


Sharti la kwanza kwa mganga ni kukutombea mkeo... Uko tayari..!? Ni kweli makanisani matapeli sana, ila waganga ni matapeli zaidi.. Wote wanasaka nao fedha tu.. Cha kufanya, ongeza juhudi, ubunifu, be smart ktk kazi zako na usimamizi mzuri, utatoka tu.. Kwa mganga au sijui kanisani sikushauri utarudi ukilia..
 
Kwakweli haya maisha inafikia hatua mpaka unajiuliza: 'why me'? 'why kila nachofanya hakizai matunda'?

Unapambana haswa, unamuabudu Mungu, hujadhulumu yeyote, hujagombana na yeyote, hujamkosea yeyote, lakini mambo ni magumu mno pamoja na jitihada zote za utafutaji. Sometimes unajiuliza 'au sina nyota'? Unajiuliza tena 'kwani nyota ni nini? kwanini mimi nisiwe na hiyo nyota'? Maswali yanakuwa mengi kuliko majibu, achilia mbali majawabu.

Mleta mada, nakutakia kila lililo jema huko uendako. Dunia hii, mitihani ni mingi... na uzuri ni kwamba LIFE has a lot of OPTIONS!

Usikilize moyo wako... fanya kile unachokiamini. Ila tu kaa mbali na makafara ya kuua ama kuharibu mtu ili unyooshe mambo yako, iepuke hiyo dhambi. Kila lakheri mpambanaji.

-Kaveli-
Asante sana kiongozi wewe unayaelewa vema maisha
 
Sharti la kwanza kwa mganga ni kukutombea mkeo... Uko tayari..!? Ni kweli makanisani matapeli sana, ila waganga ni matapeli zaidi.. Wote wanasaka nao fedha tu.. Cha kufanya, ongeza juhudi, ubunifu, be smart ktk kazi zako na usimamizi mzuri, utatoka tu.. Kwa mganga au sijui kanisani sikushauri utarudi ukilia..
Stori za kusadikika. sitaki ushauri bali maelekezo kulingana na mada inavyojieleza.
Siku njema.
 
Dingiii mambo yako yalitiki unipe na mie malocation
Yalitiki vizuri sana..watu hawajui asili yetu waafrika ..hizo ndo asili yetu Africa ..
Saivi nmeelekezwa kwingine kuongeza nguvu zaidi
 
Back
Top Bottom