meatu> mwandoya> IgobeHabari zenu.
Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni serious na nimeshaamua, kwaio sitaki habari zingine, nisaidieni kwa wenyeji wa maeneo hayo au waliokwishaenda wakafanikiwa tafadhali uje PM tuweze kubadilishana mawili matatu.
Nitume bodi mimi sio mwanafunzi..sina kampuni labda nnaweza sema njoo, unaona.....
mkopo, mimi ningekushauri tuma maombi bodi,
kwa Hali ya sasa usipende kulalamika haito kusahidia kitu,
nyuzi yako ya kuomba kazi naomba niione tafadhari
sawa sawaa maana nataka niache chuo nikapambane na maishaMkuu sijafunga PM..ngoja nakutumia ujumbe sasa hivi
pamoja mkuu hamna neno
unadanganywa, Mwanakingi ni Msukuma halisi, yupo wilaya ya meatu jimbo LA kisesa kwa luhaga mpinaNakuja pm unielekeze vizuri
Sipendi unafiki acha unafiki ...siku njema.
Nitume bodi mimi sio mwanafunzi..
Silalamiki bali mimi ni mpambanaji
Nitakutumia
Mkuu kwa kweli nakushukuru sana kwa kunisaidia kufafanua kwa lugha ya kueleweka zaidi.Kwa mujibu wa mleta thread ni dhahiri yupo siriasi na kile akifikiriacho kwa sasa kutona na matatizo aliyonayo,hivyo kama ambavyo ameomba aelekezwe kwa aliyefika kwa mtaalam husika,mengine hataki kusikia,kwa hiyo ni jambo jema mkamshauri kwa hilo hayo mengine hataki;kaishaamua kwenda hivyo ni vizuri mkaheshimu mawazo yake
Watu wengine mkuu hawaelewi,mpaka kufikia uamuzi huu ni dhahiri umetaabika,na hakuna Mtu anayependa kwenda huko kwa hiari bali analazimishwa na shida za Dunia,makanisani napo pamegeuzwa sehemu ya kuchumiapo pesa na kama hauna uwezo utaonekanwa kama umepotea njia,hivyo ni vizuri wakaheshimu mawazo bila kujali ni mabaya au ni mazuri,yakiwa na madhara mabaya au mazuri ni juu yakoMkuu kwa kweli nakushukuru sana kwa kunisaidia kufafanua kwa lugha ya kueleweka zaidi.
Shukrani kiongozi kwa uelewa wako...unajua wengi hapa wanakuta ugali ama wali mezani ...wanakaa kwa mashemeji zao they dont worry about paying electricity bills, water bills, rent , yani wako wamejiachia kabisa ...lakin sisi tunaopitia machungu ya dunia hii tunaelewa kwamba wanayoyasema inakuaga stori za kusadikika na muvi,Watu wengine mkuu hawaelewi,mpaka kufikia uamuzi huu ni dhahiri umetaabika,na hakuna Mtu anayependa kwenda huko kwa hiari bali analazimishwa na shida za Dunia,makanisani napo pamegeuzwa sehemu ya kuchumiapo pesa na kama hauna uwezo utaonekanwa kama umepotea njia,hivyo ni vizuri wakaheshimu mawazo bila kujali ni mabaya au ni mazuri,yakiwa na madhara mabaya au mazuri ni juu yako
Mkuu kwa tunaoamini Ulozi ,Ulozi kwel upo,Watu wanajidai kumjua Mungu ndiyo kimbilio la shida zao kimaneno ila kiuhalisia wapo upande wa pil,kuna ushuhuda tu mingi,kuhusu Mtu kupatwa na majanga akaenda Kanisani akakesha na kukesha lakini jipya hakuna lakini akajaribu upande wa pili akapona,nasema kutokana na ukweli wa mambo na siyo kujidanganya au kudanganya Watu na hil linajulikanaShukrani kiongozi kwa uelewa wako...unajua wengi hapa wanakuta ugali ama wali mezani ...wanakaa kwa mashemeji zao they dont worry about paying electricity bills, water bills, rent , yani wako wamejiachia kabisa ...lakin sisi tunaopitia machungu ya dunia hii tunaelewa kwamba wanayoyasema inakuaga stori za kusadikika na muvi,
kuna thread moja humu jamaa anampigania mama mdogo wake nadhani amefanyiwa ubaya na hawara wa baba mdogo wake kisa tu mali anapanga kwenda huko mtwara kulimaliza mana familia yote huyo hawara kaifunga kwaio hawamuulizii wala kujua hali yake maama yao mdogo
Maamuzi sahihi ninayo
asante kushukuru
Poa kaka asante kwa kunielewa ..Mkipata matatizo mtakuja kumwelewa huyu bwana vyema tu
Ila kwa sasa mtamwambia aende kwa Mungu
Huyu mtu ana utashi na ameshasema sio maamuzi ya kukurupuka
kiongozi ameamua kabisa yani Amejizatiti kabisa
Nakuunga mkono niPM namba yako nikuambie harakati moja hivi itakusaidia mno mzee
Hao manabii wanaowaadanganya humo kwemye makanisa wana utajiri wa kutisha lakini kuna mambi yao ya siri wanayafanya na ni wao wenyewe wanajua ..familia zao zipo salama na hakuna madhara anyway ngoja nisiongee sana hapa kuhusu hiliMkuu kwa tunaoamini Ulozi ,Ulozi kwel upo,Watu wanajidai kumjua Mungu ndiyo kimbilio la shida zao kimaneno ila kiuhalisia wapo upande wa pil,kuna ushuhuda tu mingi,kuhusu Mtu kupatwa na majanga akaenda Kanisani akakesha na kukesha lakini jipya hakuna lakini akajaribu upande wa pili akapona,nasema kutokana na ukweli wa mambo na siyo kujidanganya au kudanganya Watu na hil linajulikana
Warning ni muhimu sio kama nakuonea wivu maamuzi uliyochukua.Mi mwenyewe na shida ila sijafika kuamua ujinga unaotaka kwenda kufanya ndo nyie mnaweka watoto mandondocha kisa kukosa stamina kwa matatizo ya mpito.Hufai kuitwa mwanaume kenge mkubwa na utazidi kuwa na matatizo kwa mawazo yako ya kichawi muone kwanza .........nitaendèlea kukutemea povu kwa mawazo yako ya kindezi Great thinker gani unataka short cut hata kama ya kuua mtu bundi mkubwa we huna matatizo una tamaa ya utajiri tu.Tafadhali kama huna la kunielekeza basi tulia na uwe na siku njema