Wè umeshalike ngapi mkuu?Nahis huu uzi unaitaji likes nyingi na comment nyingi
Rejea mada husika aise nothing that you will talk can ever change me, soma mada ...inaelekea hauna maelekezo kulingana na mada husika basi sio vibaya nikakutakia siku njema.Warning ni muhimu sio kama nakuonea wivu maamuzi uliyochukua.Mi mwenyewe na shida ila sijafika kuamua ujinga unaotaka kwenda kufanya ndo nyie mnaweka watoto mandondocha kisa kukosa stamina kwa matatizo ya mpito.Hufai kuitwa mwanaume kenge mkubwa na utazidi kuwa na matatizo kwa mawazo yako ya kichawi muone kwanza .........nitaendèlea kukutemea povu kwa mawazo yako ya kindezi Great thinker gani unataka short cut hata kama ya kuua mtu bundi mkubwa we huna matatizo una tamaa ya utajiri tu.
Mada ni kuwa unataka kwenda kuloga si ndio?Rejea mada husika aise nothing that you will talk can ever change me, soma mada ...inaelekea hauna maelekezo kulingana na mada husika basi sio vibaya nikakutakia siku njema.
Hata moja badoWè umeshalike ngapi mkuu?
Wataje hao wachungaji feki.sasa hivi unaleta nyodo sana, hayo mapepo na majini unayoenda kuyafuata yatakutafuna, time will tell, utarudi hapa ukiwa na thread ya kutafuta mahali penye kweli ya mungu.....wewe umekutana na wachungaji feki matapeli hao, wasaka noti
si vema kuwataja utawatambua wewe mwenyewe kwa matendo yao, wanahubiri sana kuhusu miujiza, kupata pesa, magari, wanatanguliza pesa mbele, wanabagua watu kanisani kulingana na kipato, hawaihubiri kweli ya munguWataje hao wachungaji feki.
Wote hakuna asiyelenga hela sema tu aproach ndo tofauti. Na kama unadhan hao unaowaona wema watakufikisha mbinguni umekwisha.si vema kuwataja utawatambua wewe mwenyewe kwa matendo yao, wanahubiri sana kuhusu miujiza, kupata pesa, magari, wanatanguliza pesa mbele, wanabagua watu kanisani kulingana na kipato, hawaihubiri kweli ya mungu
nan kakudanganya,? mimi naamini bible tuWote hakuna asiyelenga hela sema tu aproach ndo tofauti. Na kama unadhan hao unaowaona wema watakufikisha mbinguni umekwisha.
Shukrani mkuu na hamma mtu ananikatisha tamaa hapa nikuhakikishie hilo mkuu ..ukishamjua mnafiki hupati shidaWatu wengi wanafiki sana. Hawajui kila mtu na namna anasolve matatizo yake. Njia nzuri ya mwingine inaweza kuwa mbaya kwako na tambua watu wote hawana mtazamo mmoja. Hivyo kila mtu abaki na mtazamo wake na sio kukatishana tamaa. Either umefanikiwa kwa njia za Mungu au za shetani, mwisho wa siku hakuna atakayeishi milele hapa dunia. Nakutakia jema lenye mafanikio mleta mada.
Usjali kiongozi tuwasiliane tu tena mambo hayo ya mahusiano na ndoa kuna jambo tu ntakushauri kama mwnaaume mwenzanguOya ukifanikiwa na mm nishtue, naibiwa mke na jamaa anayefanya naye kazi, sina ushahidi ila upo wa kimazingira. Na ametoa mimba yake km two weeks ago. Nlikuwa nimesafiri kikazi mwezi mmoja na nusu nikarudi nikamkuta amechakaa usoni nikahisi labda nlinwachia mimba, naye akasema anahisi amenasa. Na akaenda kupima kurudi ananipa hongera kuwa ni mjamzito. Basi bwana mi machalle ya kisukuma yakawasha, nikampeleka kwenye ultrasound vipimo vikasoma mwezi mmoja na wiki moja, nikaanza kurollback ikaangukia wiki ambayo sijakuwepo, basi bwana wife akasafiri kikazi wiki moja, na kwa vile alikuwa bize sana hakuichomolea huko, alivyorudi nikamkuta kalala anasema anaumwa na dam zinamtoka tena mabongemabonge ameendelea kubleed wiki moja na siku kama tano. Nineshampata mama mmoja wa kenya huko ila bei yake ndo laki tisa naona kama nyingi hivi.na haya mambo mm huwa kama siyaamini kabisa. So mkuu ukienda huko tustuane