Nimechoka nimeamua kutafuta ufumbuzi

Nakuja pm unielekeze vizuri


Sharti la kwanza kwa mganga ni kukutombea mkeo... Uko tayari..!? Ni kweli makanisani matapeli sana, ila waganga ni matapeli zaidi.. Wote wanasaka nao fedha tu.. Cha kufanya, ongeza juhudi, ubunifu, be smart ktk kazi zako na usimamizi mzuri, utatoka tu.. Kwa mganga au sijui kanisani sikushauri utarudi ukilia..
 
Asante sana kiongozi wewe unayaelewa vema maisha
 
Stori za kusadikika. sitaki ushauri bali maelekezo kulingana na mada inavyojieleza.
Siku njema.
 
Dingiii mambo yako yalitiki unipe na mie malocation
Yalitiki vizuri sana..watu hawajui asili yetu waafrika ..hizo ndo asili yetu Africa ..
Saivi nmeelekezwa kwingine kuongeza nguvu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…