Nimeshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake mbalimbali kwa nyakati tofauti na pia katika vipindi hivyo nimejaribu kuwa na wapenzi wa pembeni (Sub) kwa siri sana na sijawahi kushtukiwa na wangu wa maukweli kwa namna yeyote nimecheza vizuri sana siku zote lakini nikiwa na wa pembeni kinachonipata ni maumivu ambayo athari zake zinakuwa kubwa kama vile kukosa utulivu kazini yaani binafsi ni tabu tupu maana unaathirika akili mpaka majirani wanakushtukia.
Najaribu kuangalia kasoro zangu zaidi ili nijirekebishe kwenye mahusiano najikuta napewa alama nzuri na bora ambazo wanawake wengi wanatamani wanaume wao wawe nazo.
Nimejaribu kuuliza marafiki zangu na baadhi ya watu wa karibu na wao wakinieleza kwa uaminifu kabisa kuwa ni kuwa ni kero na karaha za kutosha.
Wengine wanasema eti tatizo langu kubwa NAPENDA KIHINDI najiachia mwili mzima mzima na kuwaamini wanawake kupitiliza ilhali wanahitaji stamina yangu hivyo lazima niwe mbabe kidogo na kuwaumiza kimtindo ndiyo wananyooka kitu ambacho siyo fani yangu.
Najaribu kuchunguza zaidi zaidi nagundua ni pale napotaka kumfurahisha mpenzi wangu na kuwa karibu naye ndipo nafika mahali najikuta nagundua mambo mengi ya kudanganywa na zabibu zangu kuliwa na wengine na wale niliowahi kuwabana vizuri wengi walikiri na hapo nakosa ujasiri zaidi ya kuwasamehe na baada ya muda wanaachia ngazi wenyewe baada ya kujisikia aibu.
Hivi hili ni kwangu mwenyewe au wengine wanakutana na vitu kama hivi? Hebu jamani tuambine ukweli pasipo ushabiki, kujilinda au kuhukumiana wote tunaishi kwenye hizi jamii.