Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu samahani ila una marafiki wa hovyo, ukipata tatizo sidhani kama watakusaidia hao. Anza kuwapunguza taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa.
Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home.
Ila kuna tabia ya watu wakiwemo wana na mademu zangu wakija home utaskia naomba hiki naomba kile nawapa.
Mwanzo niliona poa ila sasa najiuliza kwani mimi nilinunua vitu hivi ili nipoteze pesa zangu au?
Hebu watu acheni tabia za kupenda kuona kitu umekipenda basi badala usema ukakinunue wewe unaishia naomba hiki naomba kile kwani mpaka umekiona kiko kwake mwenzio si kakinunua?
Kama unasoma uzi huu unakuja next time eti "naomba Jordan hizi" , "naomba tivii ile ya gym room" ujue zinauzwa na mimi nanunua, siyo nna saa mpya au simu mpya unakuja unaomba ya zamani kwani mimi siwezi kuwa nazo hamsini?.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Naomba TV mkuuDuuh mtu anaomba hadi tv
Acha uchoyo mkuu we wape tuMimi kuna chumba nimeweka vifaa vya gym na pia kuna tivii sizitumiii ziko huko sasa mtu anaomba, nikinunua tvii mpya zingine naweka kule, mimi nanunua sana vitu vipya ni mfuatiliaji sana wa teknolojia yani ni technocrat, japo kuna kitu una mpa mtu alafu unhitaji reference hukioni unajilaumu kwanini mtu kachukua kitu changu.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mkuu huwa unashikiwa panga na watu unaowapaga hivyo vitu???Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa.
Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home.
Ila kuna tabia ya watu wakiwemo wana na mademu zangu wakija home utaskia naomba hiki naomba kile nawapa.
Mwanzo niliona poa ila sasa najiuliza kwani mimi nilinunua vitu hivi ili nipoteze pesa zangu au?
Hebu watu acheni tabia za kupenda kuona kitu umekipenda basi badala usema ukakinunue wewe unaishia naomba hiki naomba kile kwani mpaka umekiona kiko kwake mwenzio si kakinunua?
Kama unasoma uzi huu unakuja next time eti "naomba Jordan hizi" , "naomba tivii ile ya gym room" ujue zinauzwa na mimi nanunua, siyo nna saa mpya au simu mpya unakuja unaomba ya zamani kwani mimi siwezi kuwa nazo hamsini?.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Toa ulichonacho,Mungu anakuona hadi ndani ya moyo wakoKuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa.
Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home.
Ila kuna tabia ya watu wakiwemo wana na mademu zangu wakija home utaskia naomba hiki naomba kile nawapa.
Mwanzo niliona poa ila sasa najiuliza kwani mimi nilinunua vitu hivi ili nipoteze pesa zangu au?
Hebu watu acheni tabia za kupenda kuona kitu umekipenda basi badala usema ukakinunue wewe unaishia naomba hiki naomba kile kwani mpaka umekiona kiko kwake mwenzio si kakinunua?
Kama unasoma uzi huu unakuja next time eti "naomba Jordan hizi" , "naomba tivii ile ya gym room" ujue zinauzwa na mimi nanunua, siyo nna saa mpya au simu mpya unakuja unaomba ya zamani kwani mimi siwezi kuwa nazo hamsini?.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Basi nakushauri uoe nduku, utakuja kunambia hapa. Mwambie mkeo awe ndio Procurement officer. Najua watu watamind ila baadae watazoea kuwa fulani mkewe anabana balaa.Mimi kuna chumba nimeweka vifaa vya gym na pia kuna tivii sizitumiii ziko huko sasa mtu anaomba, nikinunua tvii mpya zingine naweka kule, mimi nanunua sana vitu vipya ni mfuatiliaji sana wa teknolojia yani ni technocrat, japo kuna kitu una mpa mtu alafu unhitaji reference hukioni unajilaumu kwanini mtu kachukua kitu changu.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Uache kununua mavitu mengi ambayo hutumii ndio maana wanaomba ombaDemu akija anakuta una dryer anaitaka japo wewe huitumii ila umenunua ikae kwenye drawer yako bafuni ila unajikuta unaona ujinga unamuambia ichukue
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mbona wewe hujaoa, umebaki kuwa mshauri wa masuala ya mahusiano wakati huna hata mchumba.Umeoa?! Kama haujaoa tatizo linaanzia hapo. Unapokuwa na mke, mojawapo ya majukumu yake ni kulinda mali zako.
Wanawake ndio husaidia kukulindia mali zako dhidi ya watu wanaotaka kukufuja.
Mkiambiwa ndoa huwa mnawaza kugegeda tu. Ukiwa na mke hata mshahara utaona unatumikaje na utaenda vizuri. Ila ukiwa haupo na mke na hauwezi kujisimamia , utashangaa pesa inapotea na haujui imekwenda wapi.