Wewe una miaka ngapi na una nini ambacho ni outstanding?Kazi- huna
Hela- huna
Nyumba -huna
At 40yrs hujajenga?
Hayo maden sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
All the best.
Hahaha maana deni mil 2Atakupa stress ubaki mfuko wa mifupa
Unataka nitangaze hapa ili iweje? Hujui 40 ndo inabidi vitu vya muhimu uwe navyo? Mm ni wa kike ila siwezi fika 40 yrs bila nyumba trust me.Wewe una miaka ngapi na una nini ambacho ni outstanding?
Kwa hiyo mkuu unaona wale wazee wenye 50 years na bado wamepanga hawana nyumba ni vichaa na wajinga na wao wanacheza hawatafuti au maisha haya hayana mwenyewe ni kumuomba Mungu unaweza fika hiyo 40 achana na kuwa na nyumba bali hata kodi tu ikawa inakuzingua kiainaUnataka nitangaze hapa ili iweje? Hujui 40 ndo inabidi vitu vya muhimu uwe navyo? Mm ni wa kike ila siwezi fika 40 yrs bila nyumba trust me.
Hayo ya vichaa, sijui wajinga umesema wewe hakuna sehemu nimetaja hivyo.Kwa hiyo mkuu unaona wale wazee wenye 50 years na bado wamepanga hawana nyumba ni vichaa na wajinga na wao wanacheza hawatafuti au maisha haya hayana mwenyewe ni kumuomba Mungu unaweza fika hiyo 40 achana na kuwa na nyumba bali hata kodi tu ikawa inakuzingua kiaina
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daah mie mwembamba lkn huwa nanenepa fasta tu nikiridhika
[emoji3][emoji3][emoji3]Njoo tuyajenge na mimi maana mimi mwenyewe nipo nipo tu nazurura tu Duniani sina kitu na sina vigezo kwa mwanamke ninaye muhitaji ili mradi awe mwanamke anaye pumua tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka nitangaze hapa ili iweje? Hujui 40 ndo inabidi vitu vya muhimu uwe navyo? Mm ni wa kike ila siwezi fika 40 yrs bila nyumba trust me.
Unafanana na mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.
Pole boss
Naomba uniruhusu nikutukane....ivi kilo ndo unene??? Duuuh mliambiwa msome biology O'level mkazarau onana sasa upupu unaoandika humuHuna kazi, huna hela, huna nyumba na una deni kubwa la 2.4M sasa hizo kilo 84 umezipataje??
Kwa hali uliyo nayo ilitakiwa uwe na kilo 50 kushuka chini!!
By the way kwa kilo hizo ulizo nazo (84kg) haziendani kabisa na urefu wako (1.7m) yaani unaonekana ni ki Lemutuz kingine mjini na sidhani Kama utakua na uwezo wa kumpiga mbupu na kumridhisha huyo unaemtafuta humu kwa ubonge nyanya huo.
Zaidi sana utacreate matatizo mengine tu Kama kuchapiwa nje ukufe kwa presha siku sio nyingi
Hv ushapata mkuu[emoji23]Umri: 40
Elimu: Diploma
Uzito : 84kg
Urefu: 1.7m
Kazi: Sina
Hela: Sina
Nyumba: Sina
Watoto: Watatu Ke1, Me2
Mke: Sina
Ujuzi: Umeme, useremala, na ufundi vyuma.
Madeni: Milion 2.4
Mengineyo:
Situmii pombe, sigara Wala bangi... Nilishawahi Kutumia Miaka 18 iliyopita. Napenda kujishughulisha kazi za mikono za ujuzi... Kujisomea vitabu... Nina ndoto kubwa Sana Lakini sijaweza kuzitekeleza... Ukija tutasaidiana jinsi ya kuanza na Kufanikisha ndoto zetu.
Kuhusu Mapenzi Nina wivu Sana sipendi umalaya.. Mwanamke nayemuhitaji awe Mjane au aliyezaa angalau watoto wawili..Apende kujishughulisha.. Umri wake aanzie 32-43 awe mwembamba asiwe mnene tafadhali... Dini Awe Mkristo.. Mengine tutakamilishana
Ukipendezwa nami karibu PM au gddtechnicians@gmail.com. Blessed
Hv ushapata mkuu[emoji23
Kuna vitu vingine mtu unacheka huku unasikitika dah!!.....Unafanana na mimi mkuu!Nina miaka 55 na vitu pekee ninavyomiliki ni ndevu pamoja na dushe.