Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Nimechoka Upwekee, Nahitaji Mwenza

Status
Not open for further replies.
Habari wapendwa,

Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].

Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a happy relationship.

Sifa.
Asiwe chini ya 30 yrs.
Awe anajua kumjali mwanamke .
Asiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)

Sifa zangu.
Umri wangu ni 27 yrs.
Mwelewa,msafi,mchapakazi na mjasiriamali.

Kama huna hizo sifa, USIJE DM.

Msinitukane please, Nitalia.
Unatafuta "Mume" au unatafuta "mwasherati" wa kusogeza naye siku?
 
Habari wapendwa,

Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].

Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a happy relationship.

Sifa.
Asiwe chini ya 30 yrs.
Awe anajua kumjali mwanamke .
Asiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)

Sifa zangu.
Umri wangu ni 27 yrs.
Mwelewa,msafi,mchapakazi na mjasiriamali.

Kama huna hizo sifa, USIJE DM.

Msinitukane please, Nitalia.
Njoo DM kama unamaanisha kwa dhati ukisemacho
 
Mwanaume akishakuwa na sifa ya kumuhudumia mwanamke kila kitu, kinachofata ni mwanaume kuwa msafi aiseee mimi mwanaume ambae hata nikimuona sivutiwi na usafi wake siwezi angaika nae hata kama pesa anayo.tho pesa napenda.

All the best mdada.
 
Habari wapendwa,

Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].

Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a happy relationship.

Sifa.
Asiwe chini ya 30 yrs.
Awe anajua kumjali mwanamke .
Asiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)

Sifa zangu.
Umri wangu ni 27 yrs.
Mwelewa,msafi,mchapakazi na mjasiriamali.

Kama huna hizo sifa, USIJE DM.

Msinitukane please, Nitalia.

Kama wewe ni mweusi na huna baby face pita kule...
Tunadate cutes Siyo hela zako...
Hela natafuta zangu.
 
Hebu tuma picha kwanza isijekua ni Ile type ya kina mwajuma chaugoko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari wapendwa,

Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179].

Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a happy relationship.

Sifa.
Asiwe chini ya 30 yrs.
Awe anajua kumjali mwanamke .
Asiwe ananuka mdomo(cuz napenda sana romance)

Sifa zangu.
Umri wangu ni 27 yrs.
Mwelewa,msafi,mchapakazi na mjasiriamali.

Kama huna hizo sifa, USIJE DM.

Msinitukane please, Nitalia.
Mimi nimekupenda na nina sifa zote za kuweza kukumiliki ila tatizo nina miaka 24.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeifanya mada my dear? Kunuka siyo kitu cha kawaida ..Mimi najijua ni msafi, najipenda na pia naambiwaga...Sinuki hata nikitoka kuamka kama hutaki basi siyo lazima tufanane
Hata ukitoka kuamka? [emoji849][emoji849][emoji849] Basi wewe kama ni hivyo kamtafute malaika mwenzio mpendane tu [emoji15][emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Kwa kujali. Japo Sikuwa na Maana ya kulipiwa.. Just Kuwa muwazi Kuwa some money zitaenda Kufukia Mashimo...!! Deni linakaribia kuisha.. Kabla ya December!! God is Great!! Mpaka Sasa nishalipa 1.9m Although Watu walichukulia kama Mzaha.. You people hamjui Watu wanapitia Nini.. But Secondly She is To Young to be My Lover.... We will Never Stop The Race .....[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]. Nilichojifunza ni Kuwa Watu Wengi ni waoga sana Kuamini na kuthubutu...But If You Try You will know Your Capabilities.... All the Best in this Journey of Life....
Mkuu kwani ulimpata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom