Yani nipo kujifunza fx arafu mtu anakuja kukatisha watu tamaa.
Anarisk 40% ya mtaji ategemeee awe profitable 😁😁 sio kuchoma account tuh hata ukiingia kwenye biashara kwa mfumo huu Atachoma hadi kibanda.
Hana journal hii hata kwenye biashara yani haurecord mzigo ulioingia na mzigo uliotoka, arafu uje useme mwaka wa sita sipigi hatua wewe ni mvivu tu.
Wenzako wanalala saa 5 usiku wapo wanasoma soko wanasoma vitabu, wanajadiri, wanafanya analysis wanashauriana strategy ya kutokurisk zaidi ya 2% wewe muda huo unanyoosha miguu umelala, upo kufanya mapenzi tuh. Wenzio saa 11 asubuhi wapo macho wanafanya tafakuli, wanaangalia kama kuna opportunity sokoni wewe mda huo unaota upo marekani ama Dubai kupitia pesa ya forex.
Forex ni ngumu kuliko biashara ya kawaida physical business huku physical mtu hata mshikaji wako anaamua kukuungisha hata kama kitu hakutarajia kukichukua soko la FOREX na cryptocurrency halijuikama wewe ni Yakima ama hiyo pesa ya mkopo, wala hukula juzi.
Tumuambie huyu mwanetu kuwa.
FOREX ni mara miatano ya kilimo cha mpunga ukiingia na akili bahati yako na ukiingia kichwa kichwa utalia