The choosen one1
Senior Member
- Dec 13, 2023
- 104
- 436
Bora kubeti, forex ni addictive hatari na inanyonya hela balaa,hiyo sio kazi haina tofauti yoyote na kubeti
hujawa mkamalia mpaka unauza vitu vyakoBora kubeti, forex ni addictive hatari na inanyonya hela balaa,
Bora hata kubethiyo sio kazi haina tofauti yoyote na kubeti
Naunga hoja mkonoBora hata kubet
Acha kufananisha betting na huo utapeli.hiyo sio kazi haina tofauti yoyote na kubeti
Yani nipo kujifunza fx arafu mtu anakuja kukatisha watu tamaa.Sokoni ulikuwa unaingiaje. Kupoteza kote ulikuwa una-take note ni kwanini unapoteza?.
Nahisi ukiamini kwenye nguvu ya mtaji uliokawa nao na siyo uhalisia wa namna soko lilivyo.
Beginners wa forex huwa mna expectations kubwa sana,Yani nipo kujifunza fx arafu mtu anakuja kukatisha watu tamaa.
Anarisk 40% ya mtaji ategemeee awe profitable 😁😁 sio kuchoma account tuh hata ukiingia kwenye biashara kwa mfumo huu Atachoma hadi kibanda.
Hana journal hii hata kwenye biashara yani haurecord mzigo ulioingia na mzigo uliotoka, arafu uje useme mwaka wa sita sipigi hatua wewe ni mvivu tu.
Wenzako wanalala saa 5 usiku wapo wanasoma soko wanasoma vitabu, wanajadiri, wanafanya analysis wanashauriana strategy ya kutokurisk zaidi ya 2% wewe muda huo unanyoosha miguu umelala, upo kufanya mapenzi tuh. Wenzio saa 11 asubuhi wapo macho wanafanya tafakuli, wanaangalia kama kuna opportunity sokoni wewe mda huo unaota upo marekani ama Dubai kupitia pesa ya forex.
Forex ni ngumu kuliko biashara ya kawaida physical business huku physical mtu hata mshikaji wako anaamua kukuungisha hata kama kitu hakutarajia kukichukua soko la FOREX na cryptocurrency halijuikama wewe ni Yakima ama hiyo pesa ya mkopo, wala hukula juzi.
Tumuambie huyu mwanetu kuwa.
FOREX ni mara miatano ya kilimo cha mpunga ukiingia na akili bahati yako na ukiingia kichwa kichwa utalia
Hamna specifics kwenye forex, leo utapoteza kwa sababu hii, utairekebisha kesho utapoteza bila sababu yoyote.Sokoni ulikuwa unaingiaje. Kupoteza kote ulikuwa una-take note ni kwanini unapoteza?.
Nahisi ukiamini kwenye nguvu ya mtaji uliokawa nao na siyo uhalisia wa namna soko lilivyo.
Loss ndogondogo sio shida, zinaweza ku accumulate kuwa loss kubwa in a long run,Hapa risk ni 0.6% ya mtaji yani hii ili uchome account inatakiwa upoteze trades zaidi ya 90 zote upate loss. Na huwezi ukapata loss trade 10 mfululizo labda kama hufanyi journal...View attachment 3661439
Ewe hata ukiambiwa ukweli hautaelewa. Endelea kuita beginner bila kuelewa codeBeginners wa forex huwa mna expectations kubwa sana,
Wewe endelea kujifunza ila tambua kila siku utakuwa unaona kama upo karibu kuwa expert na hilo Tumaini utaishi nalo miaka yote.
Sio jaunarling tu me nimefanya backtesting sana, vitabu vya price action kama vya al brook nimepitia mno, vitabu vya Mark Douglas vya psychology nimesoma na ku practice.
Lakini forex inakufanya chochote inachotaka muda wowote, in a long run utapoteza muda na fedha zako.
Wewe umefanya forex gani mkuu, yani urisk 1% upate losses 10 na bado tu una trade badala ya kujifunza na kujirekebisha makosaLoss ndogondogo sio shida, zinaweza ku accumulate kuwa loss kubwa in a long run,
Geukia kwenye AI annotationBora niweke focus kuongeza competence kwenye career yangu.
Forex unapiga hatua tatu mbele kisha nne nyuma. Sio discipline wala strategy kitakachokuokoa.
Wewe bado una trade demo huwezi elewa,Wewe umefanya forex gani mkuu, yani urisk 1% upate losses 10 na bado tu una trade badala ya kujifunza na kujirekebisha makosa