Loooo mamii unanitisha sasa kwani madhara yake ni nini...?Kachome tetenus ndugu yangu. Usipochoma sijui kama kesho utakuwepo. Serious.
Nipo ubungo nyuma ya ubungo plaza ww upo wap...Oshea mafuta ya taa ukimbie hospital
Ugonjwa unaitwa shemaleMguu wangu wa kiume mkuu, labda kutokana na Upole wangu ndio maana naonekana mwanamke.
Huo ugonjwa ndio upo vp mkuu...?
Mm ni kidume kabisaaaUgonjwa unaitwa shemale
Nilikanda na mwiko nilio upasha motoniSiku nyingine ukichomwa ata na mwiba weka kisu au chuma kwenye moto nikipata moto kichukuwe weka tafuta ya kula ulikotobolewa then kanda kwa hicho chuma cha moto
Namna hio ndo wanaume wa mkoni tunafanyaga hivyo unaweka na mafuta ya taa unakunywa na mwarobaini kikombe 1 tatanesi utaisikia kwa jirani zetu wa darNilikanda na mwiko nilio upasha motoni
Hahaa aiase Mungu ni mwema leo naweza cheza mpira vizuri tuuNamna hio ndo wanaume wa mkoni tunafanyaga hivyo unaweka na mafuta ya taa unakunywa na mwarobaini kikombe 1 tatanesi utaisikia kwa jirani zetu wa dar
Kachome na sindano ya tetenesHahaa aiase Mungu ni mwema leo naweza cheza mpira vizuri tuu
Thanks mkuu nishachoma nitarud tena trh 28Kachome na sindano ya tetenes
Ni vema ukachoma. Tetenus usisikilize hao wa Kijiweni eti mwarobaini,sijui nini,wewe acha kabisa. Ukizembea,inakuondoa believe me. Dawa ni sindano tu!Thanks mkuu nishachoma nitarud tena trh 28
Hahaaaaaa jamaa huna masihara kabisa...Ni vema ukachoma. Tetenus usisikilize hao wa Kijiweni eti mwarobaini,sijui nini,wewe acha kabisa. Ukizembea,inakuondoa believe me. Dawa ni sindano tu!