Nimechomwa na msumari mguuni nitumie dawa gani?

Nimechomwa na msumari mguuni nitumie dawa gani?

Siku nyingine ukichomwa ata na mwiba weka kisu au chuma kwenye moto nikipata moto kichukuwe weka tafuta ya kula ulikotobolewa then kanda kwa hicho chuma cha moto
 
Doctor atakushauri vizuri kama mguu ukatwe au utapona
 
Siku nyingine ukichomwa ata na mwiba weka kisu au chuma kwenye moto nikipata moto kichukuwe weka tafuta ya kula ulikotobolewa then kanda kwa hicho chuma cha moto
Nilikanda na mwiko nilio upasha motoni
 
Namna hio ndo wanaume wa mkoni tunafanyaga hivyo unaweka na mafuta ya taa unakunywa na mwarobaini kikombe 1 tatanesi utaisikia kwa jirani zetu wa dar
Hahaa aiase Mungu ni mwema leo naweza cheza mpira vizuri tuu
 
Thanks mkuu nishachoma nitarud tena trh 28
Ni vema ukachoma. Tetenus usisikilize hao wa Kijiweni eti mwarobaini,sijui nini,wewe acha kabisa. Ukizembea,inakuondoa believe me. Dawa ni sindano tu!
 
Ni vema ukachoma. Tetenus usisikilize hao wa Kijiweni eti mwarobaini,sijui nini,wewe acha kabisa. Ukizembea,inakuondoa believe me. Dawa ni sindano tu!
Hahaaaaaa jamaa huna masihara kabisa...
Ipo hv nilichoma tarehe 30 so nitarud kuchoma nyingine trh 28
 
Back
Top Bottom