Nimechomwa na msumari mguuni nitumie dawa gani?

Nimechomwa na msumari mguuni nitumie dawa gani?

Mbona na wewe mleta mada unakuwa mwehu, kwenu hakuna hospitali? Maumivu yakizidi kamuone daktari, wahi kabla hujapata gono la mguuni na kukatwa huo mguu.
 
Sisi huku Mara tukichomwa hata na mkuki tunatia maji ya mkonge tu na kupona.

Najivunia kuzaliwa mkoa wa Mara.
 
Wahi kwanza ukachome sidano ya tetanus zen dawa za kukausha zifatie baadae
nenda hospitali haraka acha kudekA HAPA EBO
Pamwagie mafuta ya taa kidogo, then nenda kachome tetenasi
Mda uliotumia kuandika hii post unhekuwa ushafika hosptal
yaani kamsumali tu unaanzisha thread, huku tunachomwa na mikuki tunakomaa tu.
Hapo wahenga wanasemaga unapakojolea kimaniaje tyu after tetenus cz mkojo ni dawa tosha
Huu ndiyo ushauri muafaka Mkuu.
MREJESHO:
Ahsanteni wakuu kwa michango yenu ya ushauri wenye kujenga Nimeenda hospital leo sinza nimepatiwa sindano ya tete nasi pia jana nilijkanda na kutumia dawa za maumivu,kukausha na fragile namshukuru Mungu Nimepata nafiuu kubwa naweza tembea kwa migiu miwili bila shida[/QUOTE]
 
Te Lavista, nimecheka sana kiongozi. Tangu aunzishe thread hukurudi tena kuchukua mrejesho.

Ulivyorudi japo comment zilikuwa nyingi, lakini umeanza kujibu ile ulioulizwa unakaa wapi ili ukachuliwe. Hahahaha nimecheka sana.

Back to topic: sina uhakika na hili japo najua sindano ya tetanus ni bure. Sina uhakika lakini. Ungecheck kwanza private ni shs ngapi kuchoma kwani haiwezi kuwa bure kabisa kwa sababu ya kulipia mishahara ya watumishi.

Ni muhimu upate hii sindano ndani ya masaa 24 kama hujawahi kuchomwa sindano ya tetanus kwa miaka mitano iliyopita.
Hahaaa mkuu I think jamaa kahisi mm ni mwanamke...
Private niliambiwa kuchomwa hiyo sindano ni 5000 na nikawa nimepungukiwa so leo nimeenda hospital nimehudumiwa bure kabisaaa Mungu atukuzwe...
 
Weka kisu jikon paka mafuta ya kula kwenye kidonda gonga kwa kutumia kisu kikiwa cha moto! Gonga kidogo kidogo angalia usiungue!; cku 2 nyingi kidonda kimekauka!!
Ahsante sana mkuu kwa ushauri huu..
Nimefanya hv..
Nimepaka kidonda mafuta kisha nikachukua mwiko nikawa naubabua then ngusisha kwenye kidonda..

Na peo usiku nitafanya hvo..
 
Mkuu sina hela ya lukulipa pia mm ni mwana mume..
Kama ni bure sawa...
Mguu mbona wa kike? Mwandiko mbona wa kikekike vile?!
Otherwise utakua na ugonjwa unaitwa "hormonal imbalance"
 
Kunywa mkutati, utapona baada ya siku 2 tuu. Na pia ni kinga iwapo ukichomwa na msumari mwingine, hautaingia.
 
Mda uliotumia kuandika hii post unhekuwa ushafika hosptal
Miaka ile ya tisini,kimzaha mzaha hivyo kama wewe uonavayo,tukiwa sekondari Boarding,tulimpoteza mwanafunzi mwenzetu kwa pepopunda. So muanzisha uzi yuko sahihi,na bila kupoteza muda unashauriwa ukachome sindano ya pepopunda(tetenus)
 
Cha kwanza nenda hospital kachome sindano ya tetanus, vingine vifuate baadae
 
Miaka ile ya tisini,kimzaha mzaha hivyo kama wewe uonavayo,tukiwa sekondari Boarding,tulimpoteza mwanafunzi mwenzetu kwa pepopunda. So muanzisha uzi yuko sahihi,na bila kupoteza muda unashauriwa ukachome sindano ya pepopunda(tetenus)
Watu hawajui mkuu
Naweza nikatumia vidonge tu mm nikajua ndio tayar kumbe bado kuna shida...
 
Mguu mbona wa kike? Mwandiko mbona wa kikekike vile?!
Otherwise utakua na ugonjwa unaitwa "hormonal imbalance"
Mguu wangu wa kiume mkuu, labda kutokana na Upole wangu ndio maana naonekana mwanamke.

Huo ugonjwa ndio upo vp mkuu...?
 
Salamu wapendwa,

Mwenzeni nimepata ajali kidogo ya kuchomwa na msumari mguuni. Maumivu yake hayaelezeki jamani mguu umevimba kiasi maana kama nchi moja imeingia.

So nitumie dawa gani wapendwa ili ndani ya siku tatu niweze kutembea na donda liwe limekauka?

Nifanyaje?
Ahsante
355016130f662b6d016c3255e1f0ccaa.jpg
d55e1fcac8c9eb638a2b090c9f8699ed.jpg
a7aa6ac341100c473d8c26d264631adc.jpg
Yaani neno kituo cha Huduma za afya yaani Dispensary, health centre au hospital hujawahi kusikia? Jf si hospitali?
 
Kachome tetenus ndugu yangu. Usipochoma sijui kama kesho utakuwepo. Serious.
 
Back
Top Bottom