Nimechoshwa na denda

Nimechoshwa na denda

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,588
Reaction score
22,752
Jaman nisaidieni dawa au technique ya kuepuka kutoa udenda pale tu nikamatwapo na usingizi.Hali hii sikuwa nayo ila imeanza tangu wiki iliyopita namwaga udenda kitandani hadi najishangaa.NISAIDIENI (AS A JENTROMEN SIIPENDI HII HALI)
 
Lala na mpenzio ile style ya 69.
Afu usiku kucha mambo iwe mdomoni,
hutatokwa tena na 'chuzi',
niamini.
 
Lala na pamba mdomoni
Ukiamka meza bila kufikiri.

Labda unastress, ni kipindi cha mpito
Itaisha yenyewe
 
Bahanzi nzuri mwenzi aote yuko shereheni
Afu anakula paja la kuku wa kienyewe.

Ataruka kama kawekwa kwenye umeme

Lala na mpenzio ile style ya 69.
Afu usiku kucha mambo iwe mdomoni,
hutatokwa tena na 'chuzi',
niamini.
 
Kuna upepo mkali sana usiku. Yawezekana una sinusitis na unalala mdomo wazi. Ukitbu hiyo sinusitis utalala mdomo umefunga na denda halitatoka. Pole ndugu yangu. Lakini isijekuwa unaota mabillion yako?
 
Bahanzi nzuri mwenzi aote yuko shereheni
Afu anakula paja la kuku wa kienyewe.

Ataruka kama kawekwa kwenye umeme

hakuna.
Ulaji wa kwenye ndoto huwa unakuwa wa kumung'unya,
itakuwa utamu aje?
 
jaribu pia kuangalia ni vitu gani huwa unakula kabla ya kulala
 
Kuna upepo mkali sana usiku. Yawezekana una sinusitis na unalala mdomo wazi. Ukitbu hiyo sinusitis utalala mdomo umefunga na denda halitatoka. Pole ndugu yangu. Lakini isijekuwa unaota mabillion yako?

Asante doctorz mi nipo mkoani dodoma ni kweli mahali nilipo kuna upepo mkali sana je unamaanisha inatibika nijisije nikaenda hospitalin alafu nikachekwa na madaktari?
 
Lala na pamba mdomoni
Ukiamka meza bila kufikiri.

Labda unastress, ni kipindi cha mpito
Itaisha yenyewe

Sasa si nitakuwa kama maiti.Vp ulitumiaga technique hiyo ukapona nini?
 
Lala na mpenzio ile style ya 69.
Afu usiku kucha mambo iwe mdomoni,
hutatokwa tena na 'chuzi',
niamini.

We hunitakii mema unataka niamke kesho domo langu limevunda na kuvimba kama nimeumwa na nyuki si ndiyo?
 
We hunitakii mema unataka niamke kesho domo langu limevunda na kuvimba kama nimeumwa na nyuki si ndiyo?

wala.
Hiyo ndo yenyewe mbona...
Samahani kwa kuchakachuwa uzi. Unajua hii uliipost kule Chit-Chat, sasa hata coment zikawa za ki-chit-chat.
Naona huku kunataka utaalam zaidi.
 
Weka Sukari Mdomo, Utajikuta Udenda Wote Unaumeza bila kudondokea ktk godoro.
 
Weka kipande cha tissue paper chini ya ulimi na uwe unaamka na kubadili kila baada ya masaa mawili kwa miaka 7 tatizo litakwisha
 
Kaka hilo ni pepo si medical problem,nliwahi kupata wakati fulani nlipojichunguza nikakuta Nimeacha mambo ya Ibada na kumcha Mungu
Baada ya kurudi kwenye mstari Tatizo likaisha siku hiyo hiyo nlipojitafakari! Mrudie Muumba wako kulingana na imani yako!
 
Back
Top Bottom