Nimechoshwa na denda

Nimechoshwa na denda

Weka kipande cha tissue paper chini ya ulimi na uwe unaamka na kubadili kila baada ya masaa mawili kwa miaka 7 tatizo litakwisha

acha utani mi nimechoshwa na hili denda ujue
 
inawezekana unachoka sana,hii pia inaweza kuwa tatzo
 
angalia direction ya mwili wako kwenye kitanda,huo uelekeo unakoangalia wakati wa kulala haufai,kuna mtelemko.angalia upande mwingine.hii kitu siliac jaribu uone.
 
kwangu mimi huwa inanitokea nikiongezeka mwili (kunenepa),nikipungua na tatizo limekwisha. Angalia trend ya mwili wako kwa siku za hivi karibuni
 
Jaman nisaidieni dawa au technique ya kuepuka kutoa udenda pale tu nikamatwapo na usingizi.Hali hii sikuwa nayo ila imeanza tangu wiki iliyopita namwaga udenda kitandani hadi najishangaa.NISAIDIENI (AS A JENTROMEN SIIPENDI HII HALI)

Kwa sababu unasema hali hii si ya muda mrefu basi mambo haya yanaweza kufanya udenda utoke ukiwa umelala.kama un madonda mdomoni au kooni,matatizo kwenye meno,kutumia dawa za kunywa,pia angalia vyakula unavyokula kabla ya kulala.ukimaliza jambo linalohusika ya mambo hayo itaisha tu,vingine kulala ukiwa hoi sana muscle zina relax sana unaweza kuwa unashindwa kufumba mdomo ukilala hivyo denda likawa linatoka lenyewe but ukiwa hujachoka sana ni ngumu kulala mdomo wazi.
 
piga mswaki kila siku kabla ya kulala kuondoa mabaki ya chakula ambayo huwa na utamu utamu, au uchachu unaojaza mate mdomoni. hali ikizidi kamuone mtaalamu wa meno na kinywa
 
piga mswaki kila siku kabla ya kulala kuondoa mabaki ya chakula ambayo huwa na utamu utamu, au uchachu unaojaza mate mdomoni. hali ikizidi kamuone mtaalamu wa meno na kinywa

Asante mkuu kwa kunikumbusha.
 
Pole sana mkuu,ila wakatimwengine hua inatokana na mfumo wameno katika kinywa kwa maana kuna wengine ata akiwa macho kinywa hua wazi so akilala ndo kabisa mate hutoka.
 
huna flu inayokufanya ulale mdomo wazi? Au unapenda vyakula vya sukari? Mana pia vinasababisha, km vote ivo hamna basi itakua ni uchofu tu ukilala unajiachia mno.
 
huna flu inayokufanya ulale mdomo wazi? Au unapenda vyakula vya sukari? Mana pia vinasababisha, km vote ivo hamna basi itakua ni uchofu tu ukilala unajiachia mno.

sina mkuu.
 
Back
Top Bottom