Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Hujatueleza huo umbali,hujaeleza muda mnaokutana una space kiasi gani,na je unavikwazo vya kipesa au kiruhusa,basi ukitueleza vizuri tunaweza kukushauriHivi nyie wenzangu ambao mko kwenye distance love mnawezaje aisee yaani siku baada ya siku ndivyo ninavyozidi kuchukia distance love na kumchukia huyu binti bila sababu yoyote ile ila binti inaonesha kunipenda sana ila mimi kadri ya siku ndivyo navyozidi kumchukia na kuchukia hii distance love wakuu nifanyeje?
Nikimpiga chini nahisi nitamuumiza kwasababu yeye ndiye ana struggle sana penzi liendelee kuwepo ila mimi siku baada ya siku nazidi kumchoka wakuu naombeni ushauri nifanyeje?
Naomba kukazia hapa.Hujatueleza huo umbali,hujaeleza muda mnaokutana una space kiasi gani,na je unavikwazo vya kipesa au kiruhusa,basi ukitueleza vizuri tunaweza kukushauri
🤣🤣🤣🤣 Ati umepigaje hapo🤣🤣🤣🤣Distance love ni nzuri as long as the four of you are happy
Utoto kabisa analeta! Sa kwanini asimfate huko au amwambie huyo Binti wawatu akuje penye mahali mwamba yuko wa enjoy mahusiano yao... Au huyo dada yuko Sayari ya Mars na mwamba yuko Jupiter?mfuate au akufuate ulipo mna make love, uache kutuletea ujinga ujinga hapa!! Genye tu hapo ndo zinawatesa[emoji49]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Distance love ni nzuri as long as the four of you are happy
Hakika 😂Distance love ni nzuri as long as the four of you are happy
Huwezi kwa ajili ya nauli auWanawake wamejaa eneo ulilopo, ya nini kuhangaikia 1000km-distant relationship?
Ni kujichosha na kujiletea stress, maisha yenyewe mafupi haya. Mimi hata Ubungo-Chanika tu siwezi.