Mzelokotwa
Member
- Aug 14, 2011
- 21
- 6
<br />Waungwana naomba msaada wenu, naishi na virusi vya ukimwi yapata miaka 7 sasa,mwenzi wangu ametangulia mbele za haki miaka 4 iliyopita.<br />
Nahitaji kuowa tena, nitampataje atakaye nikubali na hali yangu?
Ushauri mzuri mkuuMzelokotwa nadhani kule mnakoenda kuchukua dawa is the best place to find a partner. Nadhani pale ndio utakutana na wadada ambao na wao wameathirika basi mkaongea na kujenga uhusiano Mkuu