Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri
Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote
Lakini ghafla toka huyu jamaa azaliwe hivi sasa ana miaka mitatu na nusu jamaa lina wivu kutwa kucha kunipiga makofi likinikuta na mama yake.
Nikipakatwa linanifukuza linapakatwa yeye sasa huyu ni mke wangu au mke wake yeye?
LEO NALIFUKUZA NYUMBANI KWANGU LIENDE KWA BIBI YAKE ...PUMBAFF KABISA.