mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Mpe mkeo mimba nyingine azae ataacha kusumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahari nimetoa mimi mke wa kwangu mimi utawala wake huko huko.Babu yake anayo mbesa nyingi mno na ya kutosha kabisa, hilo toto litaishi tu; haliwezi kuishi kwa shida hata siku moja
Namvutia kasi tuMpe mkeo mimba nyingine azae ataacha kusumbua
Nakubali baba heshima yakoKwa muandiko huu, hahaaaaaaa hakuna mwanaume hapa. Mtoto wangu wa kiume wa mwisho Goodluck ni rika lako wewe bwana mdogo.
anamtetea tapeli mmoja anayeondoa furaha yanguNakubali baba heshima yako