Nimechukia Rais kuwatoa kwenye nafasi za uwaziri Nape Nnauye na January Makamba

Nimechukia Rais kuwatoa kwenye nafasi za uwaziri Nape Nnauye na January Makamba

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.

Watanganyika amkeni.

Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na tutazeeka pamoja. Nawapenda jipigeni kifua watapigana lakini hawatashinda.

Tutaona meng.

Wadiz
 
Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.

Watanganyika amkeni.

Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na tutazeeka pamoja.
Mchango wao katika kupinga kubinafsisha bandari kwa wageni ni upi kama siyo chawa tu hao
 
Usichukie,tunaelekea kule Chama kinataka kwenda kujipigiza ukutani na kupasuka.Bado Mwigulu.
 
Sina shaka kabisa kuwa Rais wetu, mama Samia anafanya maamuzi yake kwa faida ya Tanzania baada ya kuchambuwa sana na si kwa hisia au kukisia tu.
 
Shalom,

Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.

Watanganyika amkeni.

Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na tutazeeka pamoja. Nawapenda jipigeni kifua watapigana lakini hawatashinda.

Tutaona meng.

Wadiz
Waombee washinde uchaguzi wa ubunge mwakani otherwise wanapotea kabisa
 
Shalom,

Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.

Watanganyika amkeni.

Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na tutazeeka pamoja. Nawapenda jipigeni kifua watapigana lakini hawatashinda.

Tutaona meng.

Wadiz
Bosi naomba nikutoe tongo tongo. Mi binafsi na watanzania hakika Nape na Makamba tuliwapenda sana hasa kwa uzalendo wao. Shida ilikuja kuanza pale ambapo Dkt Magufuli alianza kuweka misingi ya uwajibikaji serikalini na kwenye chama. Nape na Makamba kwa kushirikiana na baadhi ya wazee wetu kwa chama chetu cha mapinduzi wakaanza kuweka mbinu za kufupisha urais wa Dkt Magufuli, na alipojulishwa Dkt Magufuli badala ya kushughulika nao kimya kimya akaona atoe ushahidi ili wajue anajua waache, lakini wala haikusaidia. Baada ya kuwatumbua wakajifanya kuomba msahama. Pamoja na udhaifu mkubwa wa uelewa wa utawala wa siasa wa Dkt Magufuli ila mwisho wa siku Nape na genge lake walikosea sana. Sasa Dkt Samia alipompatia Makamba uwaziri cha kwanza alihakikisha umeme hauptikani na kweli alifanikiwa kumchonganisha Dkt Samia na wapiga kura, akaenda mbele zaidi na kuhakikisha mafuta yanapanda bei kwa rushwa za kupandisha bei, na hili wewe ni shahidi mafuta leo ni 3000 wakati hayakupaswa kupanda kiasi hicho kwani hapa sisi tuna bandari. Nape yeye alihakikisha Dkt Samia na Dkt Magufuli wanasemwa vibaya na pia alianzia kwenye dili la anuanzi za makazi. Aliiba kwa kufanya figisu akamtoa Dkt Ashatu na kuhakikisha mzabuni mwenye bil 7 ndiyo anapata kazi wakati uwezo wake ulikuwa mdogo na alikuwepo mwenye bei ndogo na aliijua kazi. Kwa ufupi Nape na Makamba na Bashe na Mwingulu wana laana ya Dkt Magufuli
 
Back
Top Bottom