Nimechukia Rais kuwatoa kwenye nafasi za uwaziri Nape Nnauye na January Makamba

Nimechukia Rais kuwatoa kwenye nafasi za uwaziri Nape Nnauye na January Makamba

Shalom,

Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.

Watanganyika amkeni.

Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na tutazeeka pamoja. Nawapenda jipigeni kifua watapigana lakini hawatashinda.

Tutaona meng.

Wadiz
Kama umelipwa namsikitikia aliyekulipa, mbona kuna watu smart ambao wangempigia kazi nzuri tu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Shalom,

Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika.

Watanganyika amkeni.

Ujumbe wangu kwa Nape Nnauye na January Makamba nawapenda na sitawaacha tumekua pamoja na tutazeeka pamoja. Nawapenda jipigeni kifua watapigana lakini hawatashinda.

Tutaona meng.

Wadiz
Kanywe nao chai Bumbuli na Mtama
 
Kama unawapenda sana inabidi 'wakuweke ndani' ili uwatumikie vizuri zaidi
 
Kwanza Mimi nashauri wachunguzwe pesa/Mali wanazomiliki.
Nape kasema milioni 300 Ni hela ndogo Sana kwake, na hili la kumuwekea Elon kauzibe linaweza kua limemtajirisha Sana.
Wachunguzwe.....
 
Back
Top Bottom