Nimechukia Rais kuwatoa kwenye nafasi za uwaziri Nape Nnauye na January Makamba

RRRR kazini.

Tunaziishi R 4 za mama Samia

Niliwahi kuandika zamani; Rais wa Tanzania ana nguvu ndani ya Tanzania kuliko Rais wa Marekani ndani ya Marekani.
Zaidi ya mara 1000
 
Kama umelipwa namsikitikia aliyekulipa, mbona kuna watu smart ambao wangempigia kazi nzuri tu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Tumia ndimu kuchakachua hasira uliyonayo!!
 
Kanywe nao chai Bumbuli na Mtama
 
Kama unawapenda sana inabidi 'wakuweke ndani' ili uwatumikie vizuri zaidi
 
Kwanza Mimi nashauri wachunguzwe pesa/Mali wanazomiliki.
Nape kasema milioni 300 Ni hela ndogo Sana kwake, na hili la kumuwekea Elon kauzibe linaweza kua limemtajirisha Sana.
Wachunguzwe.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…