Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

Screenshot_20240426-133528.png
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era
 
Tulishakubaliana kabisa kwamba, fujo zote ziishie hukohuko Gaza na Urus huko

Hapa kwetu ni Amani milele, kina Mbowe wnajua fika hata maandamano yao hawatakiwi kuandamana wamenuna, kitendo cha kununa tu inatosha kabisa kusema Interejensia inawakataza wasiandamane

Unataka tuonyeshe kitu gani tena wewe?
 
Iran anaishambilia Israel bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.

Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Sio kila sehemu utatumia Ndege!

Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk

Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
 
Back
Top Bottom