"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles,. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Sio kila sehemu utatumia Ndege!Iran anaishambilia Israel bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.
Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Nakushauli ❌Nakushauli usipende sifa zitakutokea puani. Huu mda utapita.
Tuko pamoja Komando Kipensi.Nakushauli usipende sifa zitakutokea puani. Huu mda utapita.