Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Shida ni nini ndugu zanguni😁
Nimechungulia hapa Bar nikatamka kwa sauti kuu na ya mshtuko, "Mkeo anakuja", watu wote wametawanyika kwa kasi ya 5G, wengine wametawanyika kwa kuyumba yumba, wengine mlalo na wengine wima
Cha ajabu mpaka wanawake nao wametawanyika, sijui wameskia vibaya? Au labda na wao wameoa😁
Sio tu wateja, hata mabar medi nao wamekimbilia vyooni, sasa hivi niko namalizia makombo ya bia za wanaume wenzangu
Jamani, kwani wake zenu wanawapiga? Mbona waoga hivyo?😂